Gazeti la "The Washington Post" liliandika kuwa Samia aliahidi kutoa Wanyama bila kuombwa.Wanaharakati koko wataiunganisha safari hii na huu uzushi wao unaoendelea sasa hivi. Ila mwisho wa siku aibu itakuwa yao tu. Lets wait.
Wamasai Jiandaeni kukimbia,
Apa anaenda kuwaitia Taliban
Kwani si nyinyi wenyewe ndo mkimlamu JPM kununua Madream liner! Mkawa mnasema zann? Mngesaini nn sasa bila hizo ndege kuwepo?Ingekuwa ni hasara,matunda haya yasingepatikana [emoji116]
Kwa issue kama ya usafiri wa Anga kuja kuanza kazi ni baada ya mwakaMikataba mikataba hiyo yote ni ujinga tu. Kazi zinaanza Lini baada ya kusaini hiyo mikataba?
Sasa kuyanunua na kuyapaki itakusaidia nini? Hata yasingekuwepo, makubaliano yangenufaisha kampuni zingine zinazoplay hapa Tanzania.Kwani si nyinyi wenyewe ndo mkimlamu JPM kununua Madream liner! Mkawa mnasema zann? Mngesaini nn sasa bila hizo ndege kuwepo?
Kwani safari za India zilianza lini? Au unafikiri hapo kwakuwa wamesaini leo safari itaanza mwezi ujao? Itachukua mwaka hapo kuanza safari tena kwa shirika dogo kama letu ambalo hawajajilidhusha nalo ndo kabisa!Sasa kuyanunua na kuyapaki itakusaidia nini? Hata yasingekuwepo, makubaliano yangenufaisha kampuni zingine zinazoplay hapa Tanzania.
Wewe hapo nimeweka safari za India au Marekani? Nani anazungumzia India?Kwani safari za India zilianza lini? Au unafikiri hapo kwakuwa wamesaini leo safari itaanza mwezi ujao? Itachukua mwaka hapo kuanza safari tena kwa shirika dogo kama letu ambalo hawajajilidhusha nalo ndo kabisa!
Au unafikiri safari za china mpk zinaanza zilichukua mda gani baada ya makubaliano? Zilichukua miaka 2-3 mpk ndege kuanza kutua china.
Safari za India zilianza mapema zaidi kabla ya China, zilikuja kusimama baada ya Covid 19, Safar za China makubaliano yalifanyika kabla ya ata ya uchaguzi mkuu 2020 ila zikaanza 2021 mwishoni.Wewe hapo nimeweka safari za India au Marekani? Nani anazungumzia India?
Hata India Nako Mwendazake alivuruga kila kitu.
Uchaguzi utafanya nini kwa Tume hii ya akina Mahela?!Uchaguzi upo mbali sana jamani daaaaa
Anaenda kumuona sheikh ALHADI wa huko ammalizie mgao wakeRais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.
Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
Hata Jiwe alikiri kuwa Samia ni mweupe wa rangi (complexion). Bila shaka ana vinasaba vya Uarabuni.Eti samia nae anajiita mwarabu..hii nchi ina vituko sana
Aisee! Mbona unapiga watu kwa kitu kizito hivyo?Hii nchi kuna watu hawafiki ata 50 ukifanikiwa kuwaua hao tutegemee uzalendo wa ukweli na maendeleo ndani ya muda mfupi.
Uko sahihi Sana Mkuu!Kufanya ziara uarabuni wakatai huu wa purukushani za Ngorongoro siyo wazo zuri, kama mh rais ni mtu reasonable asingefanya hiyo ziara kwa sababu by all means watu wataunganisha dots!