Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6

Ahh kweli we ni chawa... Ni ziara ndefu na itatugharimu sana. Lakini yaweza kuwa na mafanikio. 🥳🥳🥳
 
Ahh kweli we ni chawa... Ni ziara ndefu na itatugharimu sana. Lakini yaweza kuwa na mafanikio. 🥳🥳🥳
Ni ziara yenye manufaa makubwa sana kwa Taifa letu.kwanza angalia tu hapo mapesa tutakayo yapata tena kwa masharti nafuu kabisa. Hapo bado makubaliano na mashirikiano katika Secta mbalimbali yatafanyika na kusainiwa.kwa ufupi ni ziara moja yenye tija kubwa sana kwa Taifa letu na maendeleo ya Taifa letu.
 
ZIARA NZITOYA KIKAZI KWA MUDA WA WIKI MOJA🤣🤣

Bonge la Movie la Kikorea litegemewe muda wowote hapo.
Kumbuka pia kuwa kuanzia tarehe 4-6 June kutakuwa na mkutano utakao wakutanisha wakuu wa nchi na serikali kutoka Afrika kwa upande mmoja pamoja na Korea ta kusini ,Ambapo katika mkutano huo Rais Samia atatoa hotuba nzito sana.
 
Nzito sana, kilo 150 siyo
 
🔨🔨🔨🔨👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C7jsRsUoNTf/?igsh=NWUxb3VwN2pycnh2
 
Ahsante kwa Taarifa Zuhura Yunusu
 
Ahsante kwa Taarifa Zuhura Yunusu
Mimi ni Mwashambwa Lucas na Siyo Mheshimiwa Zuhura Yunusi. Hata hivyo lazima ufahamu ya kuwa huwezi ukatoa taarifa kabla hajatoa yeye.maana yeye ndiye chanzo cha habari na taarifa zote zinazomhusu Mheshimiwa Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…