Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Nijue wanoaenda kutumia kodi yanguUnawataka wa nini ndugu yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nijue wanoaenda kutumia kodi yanguUnawataka wa nini ndugu yangu.
Wala usijali yote hayo yatafanyika na Tutapata fursa tuitakayo.Korea Kusini ni mabingwa wa elimu ya vitendo,Raisi Samia aangalie hilo ili kuongeza ubunifu na elimu ya kujitegemea kwa kizazi kipya.
Ahh kweli we ni chawa... Ni ziara ndefu na itatugharimu sana. Lakini yaweza kuwa na mafanikio. 🥳🥳🥳Ndugu zangu Watanzania,
Taarifa inayoendelea kusambaa Duniani kwote na kugonga vichwa vya habari ,ni kuwa Rais wetu na Jemadari Wetu Daktari Samia Suluhu Hasssan anatarajia kufanya ziara nzito sana ya kikazi Nchini Korea ya Kusini. Ambapo huko anatarajiwa kufanya mazungumzo mazito sana na Rais wa nchi hiyo.
Ambapo ni katika ziara hiyo nzito Tanzania inatarajia kupata mkopo wa masharti nafuu wa kiasi cha Dola za kimarekani Billion 2.5 kwa ajili ya kuwekeza katika miradi ya maendeleo. Narudia kusisitiza hapa mkopo huo ni wa mashariti NAFUU na ambao utawekezwa katika miradi ya maendeleo.ikumbukwe kukopa siyo dhambi bali inategemea unakopa kwa ajili ya nini na mashariti ya mkopo yapoje .ndio maana nimesisitiza hapa kuwa mkopo huo ni wa masharti nafuu kabisa.
Lakini vilevile Rais wetu mpendwa atashiriki mkutano utakaowakutanisha viongozi wa nchi na serikali kati ya Korea na wale kutoka Afrika kuanzia Tarehe 4 June hadi Tarehe 6 June. Ambapo katika mkutano huo Rais wetu mpendwa atapata fursa ya kuhutubia mkutano huo na kushiriki mjadala mzito juu ya kuimarisha masuala ya usalama wa chakula na madini.
Mambo mengi na makubaliano mbalimbali yatashuhudiwa yakifanyika na kusainiwa katika ziara hiyo ya kihistoria kwa Rais wetu kipenzi kuanzia kilimo,madini ya kimkakati,masuala ya sanaa na utamaduni na mengine mengi sana. Ni ziara ambayo tunakwenda kupata na kufaidika na mambo mengi sana.
Lakini pia ziara hiyo itashuhudiwa na Dunia nzima Rais wetu mpendwa akipewa na kutunukiwa Udaktari wa Heshima,kwa kutambua mchango Chanya wa uongozi wake ulioleta mabadiliko chanya katika maeneo mbalimbali.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa,Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kodi yako shilingi ngapi.Nijue wanoaenda kutumia kodi yangu
Ni ziara yenye manufaa makubwa sana kwa Taifa letu.kwanza angalia tu hapo mapesa tutakayo yapata tena kwa masharti nafuu kabisa. Hapo bado makubaliano na mashirikiano katika Secta mbalimbali yatafanyika na kusainiwa.kwa ufupi ni ziara moja yenye tija kubwa sana kwa Taifa letu na maendeleo ya Taifa letu.Ahh kweli we ni chawa... Ni ziara ndefu na itatugharimu sana. Lakini yaweza kuwa na mafanikio. 🥳🥳🥳
Kumbuka pia kuwa kuanzia tarehe 4-6 June kutakuwa na mkutano utakao wakutanisha wakuu wa nchi na serikali kutoka Afrika kwa upande mmoja pamoja na Korea ta kusini ,Ambapo katika mkutano huo Rais Samia atatoa hotuba nzito sana.ZIARA NZITOYA KIKAZI KWA MUDA WA WIKI MOJA🤣🤣
Bonge la Movie la Kikorea litegemewe muda wowote hapo.
Toa upuuzi apa wapi mwendazake alisema amejenga kwa fedha za ndani tunacho jua walishilikiana.Msaada ila yule Jamaa yenu alikuwa anawaambia mnajenga Kwa pesa zenu 😂😂
Nzito sana, kilo 150 siyoKumbuka pia kuwa kuanzia tarehe 4-6 June kutakuwa na mkutano utakao wakutanisha wakuu wa nchi na serikali kutoka Afrika kwa upande mmoja pamoja na Korea ta kusini ,Ambapo katika mkutano huo Rais Samia atatoa hotuba nzito sana.
Akii za mtu mweusi.
Zaidi ya hiyo. Ni nzito na yenye tija kubwa sana kwa Taifa letu.Nzito sana, kilo 150 siyo
🔨🔨🔨🔨👇👇Zengwe lagubika ziara ya Rais na wasanii; waratibu wadaiwa kufanya mchezo mchafu
Mkono mtupu haulambwi! Naam, ndivyo ninavyoweza kulielezea hili. Wikiendi iliyopita Rais alijumuika kwenye uzinduzi wa albam ya msanii wa kizazi kipya Harmonize akiwa kama mgeni rasmi pamoja na wageni waalikwa wengine ambao ni viongozi na wadau wa tasnia ya burudani. Katika uzinduzi huo Rais...www.jamiiforums.com
Mweyezi Mungu tuamulie huu ugomviMama atuongoze maisha yake yote mpaka kifo kitutenganishe... Hakuna na hakuwahi na hatotokea kama yeye.. Sasa nchi inakwenda kufaidika na MIKOPO ya Bei nafuu....
Bravo Sana!!!!
Bambo na KingwenduWasanii gani watakuwa kwenye ziara na mama kizimkazi?
Wewe akili yako si nzuri kiafya.Mweyezi Mungu tuamulie huu ugomvi
Ahsante kwa Taarifa Zuhura YunusuNdugu zangu Watanzania,
Taarifa inayoendelea kusambaa Duniani kwote na kugonga vichwa vya habari ,ni kuwa Rais wetu na Jemadari Wetu Daktari Samia Suluhu Hasssan anatarajia kufanya ziara nzito sana ya kikazi Nchini Korea ya Kusini. Ambapo huko anatarajiwa kufanya mazungumzo mazito sana na Rais wa nchi hiyo.
Ambapo ni katika ziara hiyo nzito Tanzania inatarajia kupata mkopo wa masharti nafuu wa kiasi cha Dola za kimarekani Billion 2.5 kwa ajili ya kuwekeza katika miradi ya maendeleo. Narudia kusisitiza hapa mkopo huo ni wa mashariti NAFUU na ambao utawekezwa katika miradi ya maendeleo.ikumbukwe kukopa siyo dhambi bali inategemea unakopa kwa ajili ya nini na mashariti ya mkopo yapoje .ndio maana nimesisitiza hapa kuwa mkopo huo ni wa masharti nafuu kabisa.
Lakini vilevile Rais wetu mpendwa atashiriki mkutano utakaowakutanisha viongozi wa nchi na serikali kati ya Korea na wale kutoka Afrika kuanzia Tarehe 4 June hadi Tarehe 6 June. Ambapo katika mkutano huo Rais wetu mpendwa atapata fursa ya kuhutubia mkutano huo na kushiriki mjadala mzito juu ya kuimarisha masuala ya usalama wa chakula na madini.
Mambo mengi na makubaliano mbalimbali yatashuhudiwa yakifanyika na kusainiwa katika ziara hiyo ya kihistoria kwa Rais wetu kipenzi kuanzia kilimo,madini ya kimkakati,masuala ya sanaa na utamaduni na mengine mengi sana. Ni ziara ambayo tunakwenda kupata na kufaidika na mambo mengi sana.
Lakini pia ziara hiyo itashuhudiwa na Dunia nzima Rais wetu mpendwa akipewa na kutunukiwa Udaktari wa Heshima,kwa kutambua mchango Chanya wa uongozi wake ulioleta mabadiliko chanya katika maeneo mbalimbali.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa,Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe huna akili kabisa.Wewe akili yako si nzuri kiafya.
Mimi ni Mwashambwa Lucas na Siyo Mheshimiwa Zuhura Yunusi. Hata hivyo lazima ufahamu ya kuwa huwezi ukatoa taarifa kabla hajatoa yeye.maana yeye ndiye chanzo cha habari na taarifa zote zinazomhusu Mheshimiwa Rais.Ahsante kwa Taarifa Zuhura Yunusu
Nakusamehe bure kabisa maana nafahamu ni mtu mwenye matatizo makubwa sana kichwani mwako.Wewe huna akili kabisa.
Mimi nakupuuza kwa sababu huna akili timamu.Nakusamehe bure kabisa maana nafahamu ni mtu mwenye matatizo makubwa sana kichwani mwako.