Rais Samia kufanya ziara ya kikazi Ufaransa na Ubelgiji

Kwahiyo hizo nchi unazozisema watu hawashitakiwi wanademka tu.
 
Ni wasaa mzuri sana wa kwenda kukutana na Tundu Lissu. Akili kubwa ya Lissu na makada makini wa CDM inahitajika mno hivi sasa hapa nchini.

Akili hii kukosekana katika vyombo vya maamuzi imepelekea kuwa na ombwe kubwa la uongozi nchini. Mathalani, Bunge limelala, mhimili wa mahakama umesinzia, na serikalini kumejaa wababaishaji wengi sana.
 
Ame endorse fedha ili ndege zaidi ziletwe

Je unadhani ni akili kuagiza ndege nyingine wakati hizi zilizopo bado hazitumiki kwa ufanisi unaotakiwa hivyo shirika kutengeneza hasara? Sidhani kama Hangaya anaelewa anachopitisha mezani kwake!!!
 
Mwacheni akazurure tu kama yule mshika rimoti wa msoga. Akienda kubembea Jamaica mtujulishe pia.
 
We jiulize ana muda gani madarakani?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Je unadhani ni akili kuagiza ndege Nyingine wakati hizi zilizopo bado hazitumiki kwa ufanisi unaotakiwa hivyo shirika kutengeneza hasara? Sidhani kama Hangaya anaelewa anachopitisha mezani kwake!!!
Reviving taasisi kubwa kama hizo kunahitajika uumie kwanza ndipo uanze kuona faida. Wa kulaumiwa ni awamu zilizopita zilizo ua hayo mashirika so tukae tu bila kuwa na shirika letu la ndege? Niambie nchi ambazo ni G20 ambazo hazina mashirika yake ya ndege!!
 
Kwahiyo hizo nchi unazozisema watu hawashitakiwi wanademka tu.
Kushtakiwa au kushtaki, unafahamu kupo nchi zote ila kesi za kijinga za kubambikia watu wanaoonekana kuwa si watiifu kwa wenye mamlaka, zipo tu Tanzania na baadhi ya nchi zinazoongozwa kidikteta.
 
Je unadhani ni akili kuagiza ndege Nyingine wakati hizi zilizopo bado hazitumiki kwa ufanisi unaotakiwa hivyo shirika kutengeneza hasara? Sidhani kama Hangaya anaelewa anachopitisha mezani kwake!!!
Hawa ni members wa G20. Nichambulie angalau nchi tatu humo zisizo na mashirika ya ndege
 
Kikubwa asirudi na madeni Mana tutadaiwa sisi ,tunalomwomba arudi na TUNDU LISU
 
"bakuri" ndio nini?
 
Halafu kukukumbusha tu bomba la mafuta ilikuwa lipite huko kenya lakini negotiators kutoka huku wakaenda kufanya lobbying uganda.
 

Suala sio kuwa na shirika la ndege, hapa kinachohojiwa ni namna hilo shirika linavyokuwa capitalized kwa ununuzi wa ndege kiholela bila mpango wa kulisaidia shirika lifufuke na badala yake tunalilundikia madeni!!
Hizo ndege zilitakiwa kununuliwa kufuatana na uhitaji wa soko na sio kulundika ndege ambazo baadae hutolewa viti vya passengers na kutumika kama Cargo planes kwasababu ndege hazina viable passenger routes!!!
 
Huyu naye! Mbona hajataja tarehe ambazo rais ataenda huko Ufaransa na ubelgiji anasema tu eti “anatarajia kuondoka nchini”. Angetoa tu taarifa za uapishwaji kisha akipata details za kutosha kuhusu hiyo safari tarajiwa ndo aje na taarifa ya kueleweka. Duh!
 
sawa mkuu wacha nifuatilie kuhusu hii idadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…