Godo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 1,089
- 1,468
Kwahiyo hizo nchi unazozisema watu hawashitakiwi wanademka tu.Samia ameshindwa kuushawishi Ulimwengu kwenye kuzingatia haki. Ameshindwa kupata mwaliko wa nchi yoyote miongoni mwa yale mataifa yanayozingatia haki na demokrasia.
Amebakia tu kuvizia mikutano ambayo hata haina umuhimu mkubwa, sawa na alivyokuwa akifanya Robert Mugabe miaka ya mwisho ya utawala wake.
Hakika Samia, anasubiria kwa hamu kubwa kwisha kwa kesi ya Mbowe ili aweze kujikosha kwa kuwachukulia hatua maofisa wa polisi walioandaa hiyo kesi. Na baada ya hapo atapokelewa na mataifa mengi, akiwaacha polisi na uchafu wao huku yeye akimwagiwa sifa.
Hii kesi ya Mbowe, kuna baadhi ya maofisa wa Polisi, hawataisahau maana utakuwa ndio mwisho wao katika utumishi wa umma.