Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili Nchini Kenya kuanzia 04|05|2021

Bahati mbaya watu hawaelewi investment ya wa Kenya hapa kwetu wanaongoza Africa. Sisi sio maadui ila tunashindana kwa maendeleo ni jambo zuri na Mama anaenda kuweka mambo sawa cross border business lazima irudi kama kawaida tulikuwa na ndege za Kenya 6 times a day leo sijui mara 3 kwa wiki na uhakika tutaanza kuona biashara tena kwa wingi na sote tunahitajiana sana tu.
Tukifanya biashara kwa taratibu tulizojiwekea wenyewe bila ya kutafuta njia za pembeni hakuna atakaye kataa hilo. Nyoosha njia zako, kama umezoea wizi, achana na wizi, kama umezoea kuvuka mipaka kinyemela kinyume cha taratibu, achana na hayo mambo.

Biashara ziendeshwe kitaratibu, sio kutafuta kuhujumu nchi.
 
Sasa hili la kuwekeza naona limekutoa akili kwelikweli.
Kwa hiyo kwa vile amewekeza unataka sasa tufanyeje, si hivyo kumbe anafanya biashara?
Sasa unalilia nini hapa. Tufanye nini cha ziada?

Sasa angalia usivyokuwa na ufahamu. Kwa hiyo hizo nchi nyingine tuendelee kuziweka pembeni kwa vile hawawekezi? Hii ni akili ya namna gani hii!

Huyo anayewekeza, mbona juzi kayakataa mahindi yetu kwa kisingizio tu cha kuwa na sumu. Umejaribu kulifikiria hilo? Hawa wakulima wetu huwaonei huruma, wewe unaangalia 'investment' pekee? Huo ndio uhusiano unaoutafuta hapa?
Toka miaka ile ya ujamaa na ubepari wakati uhusiano wetu ulikuwa mbaya kisiasa zaidi na mipaka kufungwa lakini baada ya vita baridi kuisha na uhusiano ukawa unaimarika hasa kibiashara na kisiasa pia japo mnaweza kutofautiana mambo ya kisiasa bila kugusa mambo ya kibiashara. Haya mambo yameanza awamu hii ya tano tu kwa kuwa mtu fulani alikuwa na urafiki na Odinga hayakutokea huko nyuma hata tulivyokuwa vibaya labda kisiasa. Ikafika kipindi hata mkuu wa mkoa akawa anaenda kufunga mpaka wa nchi au kusimamisha shughuli wakati hii ni level ya uongozi wa juu na serikali yetu kimya tu maana wakuu wa mikoa wanatoa matamko ya kuwatishia nchi jirani na waziri wa mambo nje yule mwenye macho makubwa kimyaa tu. ndio maana Mama kasema wazi mambo mengine yatatuliwe kidiplomasia sio nguvu. Kweye point kuhusu nchi hizo zingine ni vizuri tukajenga nazo pia biashara lakini huwezi kutafuta biashara na wengine halafu huku unavunja biashara kubwa na hizo nchi ulizozitaja zina uchumi mdogo sana wa kuja kuinvest hapa. Hata JK hakuwa na mahusiano mazuri na Rwanda lakini aliacha biashara ziendelee. Mambo ya mahindi isiwe sababu ya kuvunja biashara kubwa sababu mahindi ya msimu kama hawataki kununua peleka hizo nchi ulizozitaja. Mbona sisi tulichinja vifaranga vyao vyote.
 
Siasema nchi zingine tuwaweke pembeni hizo nchi hazina cha kuwekeza kwetu. Mwekezaji anafanya biashara ndio hatoi sadaka hilo wala halina mjadala. nchi inataka wawekezaji waje nchini kuna sababu wanataka waje, Mahindi wamesema hayana viwango hayo ni maumuzi yao kama sisi tunakula hayana viwango labda kwetu yana viwango hatuwezi kugombana sababu ya mahindi kuna mambo makubwa zaidi ya mahindi na kukuhakikishia hutasikia tena mkuu wa mkoa anaenda kutishia sehemu kufunga mpaka ni mambo ya kijinga sana. Mipaka inalindwa na Amiri jeshi mkuu ambaye ndio Rais kufunga au kufungua mpaka. Wewe utamsikia Mama kesho ndio utajuwa haya nayo yasema. kutaka kutushusha wapande wao ni sawa na sisi tushindane hakuna shida katika hilo usitegemee mtu wa Nairobi akapenda UN office ziwe Dar atataka ziwe kwao hata bandari tunashindana ni biashara tu sio uadui. USA na Canada wananchi wanachukuliana kama sisi Kenya na Tz lakini biashara wanafanya. wa Canada wanashani wa America wanajigamba fulani kujifanya wakubwa japo ni ukweli lakini wanategemeana.
 
Tukifanya biashara kwa taratibu tulizojiwekea wenyewe bila ya kutafuta njia za pembeni hakuna atakaye kataa hilo. Nyoosha njia zako, kama umezoea wizi, achana na wizi, kama umezoea kuvuka mipaka kinyemela kinyume cha taratibu, achana na hayo mambo.

Biashara ziendeshwe kitaratibu, sio kutafuta kuhujumu nchi.
Wewe ulimsikia yule mkuu wa mkoa baada ya wa Tanzania kushikwa kenya kuingia bila vibali na kupigwa fine au jela alisema nini? kuwa waachiwe ni kawaida watu kuvuka mipaka tu hata wa kenya wanafanya hivyo kwa hiyo kuvunja sheria za nchi kama ni mazoea basi wasishikwe haya maneno ya kiongozi. Hata mkenya akiingia bila kufwata sheria akamatwe huwezi kusema sisi hatuwakamati na nyinyi msiwakamate hayo maneno ya kiongozi anasema. wangeweka free zone katikati watu kuingia na kufanya biashara zao bila kupita immigration.
 
Toka miaka ile ya ujamaa na ubepari wakati uhusiano wetu ulikuwa mbaya kisiasa zaidi na mipaka kufungwa lakini baada ya vita baridi kuisha na uhusiano ukawa unaimarika hasa kibiashara na kisiasa pia japo mnaweza kutofautiana mambo ya kisiasa bila kugusa mambo ya kibiashara. Haya mambo yameanza awamu hii ya tano tu kwa kuwa mtu fulani alikuwa na urafiki na Odinga hayakutokea huko nyuma hata tulivyokuwa vibaya labda kisiasa. Ikafika kipindi hata mkuu wa mkoa akawa anaenda kufunga mpaka wa nchi au kusimamisha shughuli wakati hii ni level ya uongozi wa juu na serikali yetu kimya tu maana wakuu wa mikoa wanatoa matamko ya kuwatishia nchi jirani na waziri wa mambo nje yule mwenye macho makubwa kimyaa tu. ndio maana Mama kasema wazi mambo mengine yatatuliwe kidiplomasia sio nguvu. Kweye point kuhusu nchi hizo zingine ni vizuri tukajenga nazo pia biashara lakini huwezi kutafuta biashara na wengine halafu huku unavunja biashara kubwa na hizo nchi ulizozitaja zina uchumi mdogo sana wa kuja kuinvest hapa. Hata JK hakuwa na mahusiano mazuri na Rwanda lakini aliacha biashara ziendelee. Mambo ya mahindi isiwe sababu ya kuvunja biashara kubwa sababu mahindi ya msimu kama hawataki kununua peleka hizo nchi ulizozitaja. Mbona sisi tulichinja vifaranga vyao vyote.
Mimi nadhani kuna jambo hutaki kulielewa juu ya tofauti ya nchi hizi mbili.

Wakti wa biashara zinafanyika wakati wa Kikwete, ulisha angalia biashara hiyo ilikuwa inamfaidisha nani hasa? Mimi nilishaiangalia kwa umakini zaidi, ndio maana nakomaa na hili.

Magufuli hakuwa kiongozi niliyemheshimu kwa mambo mengi sana, lakini katika baadhi ya hayo niliyokubali kutoka kwake ni huko kuziba nchi yetu ichezewe kama ilivyokuwa ikichezewa huko mpakani, kasi cha kufanya madini yetu yawe madini yenu; na hata kuja kulisha mifugo hadi huku?

Huyo Kikwete Kenya walimchezea sana, kiasi wakataka wamtenge na ile CoW aliyokuwa ameianzisha Uhuru, hilo nalo unaona ni jambo la kirafiki na udugu?

Ngoja mama aende, hakuna anayekataa mambo kadhaa kurekebishwa/kusahihishwa kama unavyosema; lakini kama kusahihisha huko ni kuturudisha kwenye ile hali ya Kikwete, hapo baadhi yetu tutaondoa imani kwa huyu kiongozi.
 
Sio JK tu hata Mkapa tulijenga uhusiano wa kibiashara mzuri tu JPM tatizo lake kubwa ilikuwa kumuunga mkono Odinga wazi kabisa akalichukulia binafsi sio nchi na nchi. Mama sio kuhutubia bunge tu pale ataweka mambo ya kisiasa sawa lakini siku ya pili anahudhuria mkutano na wafanya biashara hapo anaweka mambo sawa ya kibishara. ni lazima tuwe na biashara kati ya nchi hizi mbili maana Kenya kiuchumi ni mkubwa EA na sisi hatuko mbali flow ya biashara iwe pande zote mbili.
 
Siasema nchi zingine tuwaweke pembeni hizo nchi hazina cha kuwekeza kwetu. Mwekezaji anafanya biashara ndio hatoi sadaka hilo wala halina mjadala. nchi inataka wawekezaji waje nchini kuna sababu wanataka waje, Mahindi wamesema hayana viwango hayo ni maumuzi yao kama sisi tunakula hayana viwango labda kwetu yana viwango hatuwezi kugombana sababu ya mahindi kuna mambo makubwa zaidi ya mahindi na kukuhakikishia hutasikia tena mkuu wa mkoa anaenda kutishia sehemu kufunga mpaka ni mambo ya kijinga sana. Mipaka inalindwa na Amiri jeshi mkuu ambaye ndio Rais kufunga au kufungua mpaka. Wewe utamsikia Mama kesho ndio utajuwa haya nayo yasema. kutaka kutushusha wapande wao ni sawa na sisi tushindane hakuna shida katika hilo usitegemee mtu wa Nairobi akapenda UN office ziwe Dar atataka ziwe kwao hata bandari tunashindana ni biashara tu sio uadui. USA na Canada wananchi wanachukuliana kama sisi Kenya na Tz lakini biashara wanafanya. wa Canada wanashani wa America wanajigamba fulani kujifanya wakubwa japo ni ukweli lakini wanategemeana.
Nimekwishaeleza, kama ni biashara, fuata taratibu. Unazuia mahindi kwa kukiuka taratibu mlizojiwekea namna ya kufanya hivyo, bado wewe unaona ni sawa tu? Hiyo ni biashara ya namna gani.

Mambo gani makubwa zaidi ya mahindi ya wakulima wangu? Hapa tu tayari unajionyesha sio mtu wa hapa, ni wa huko mnakojali matumbo yenu zaidi ya wananchi wenzenu.

Hiyo mipaka unayolilia, mlizoea sana kuitumia kuhujumu nchi hii, huyu mama akisinzia tena juu ya hilo hatadumu.

Haya sasa, unaweka mfano wa USA na Canada, kwa hiyo hapa kwetu ni nani USA na ni nani Canada? Mlinganisho huo ndio unaowafanya nyinyi huko mjione bora kuliko mlivyo kiuhalisia!
Hata siku moja hamtakuwa na hadhi ya USA kwa Tanzania, never!
 
Wewe ulimsikia yule mkuu wa mkoa baada ya wa Tanzania kushikwa kenya kuingia bila vibali na kupigwa fine au jela alisema nini? kuwa waachiwe ni kawaida watu kuvuka mipaka tu hata wa kenya wanafanya hivyo kwa hiyo kuvunja sheria za nchi kama ni mazoea basi wasishikwe haya maneno ya kiongozi. Hata mkenya akiingia bila kufwata sheria akamatwe huwezi kusema sisi hatuwakamati na nyinyi msiwakamate hayo maneno ya kiongozi anasema. wangeweka free zone katikati watu kuingia na kufanya biashara zao bila kupita immigration.
Biashara za mipakani zina taratibu zake zinazoeleweka, lakini hiyo haina maana ndiyo iwe njia ya kutumia kufanya uhalifu.
 
Sio JK tu hata Mkapa tulijenga uhusiano wa kibiashara mzuri tu JPM tatizo lake kubwa ilikuwa kumuunga mkono Odinga wazi kabisa akalichukulia binafsi sio nchi na nchi. Mama sio kuhutubia bunge tu pale ataweka mambo ya kisiasa sawa lakini siku ya pili anahudhuria mkutano na wafanya biashara hapo anaweka mambo sawa ya kibishara. ni lazima tuwe na biashara kati ya nchi hizi mbili maana Kenya kiuchumi ni mkubwa EA na sisi hatuko mbali flow ya biashara iwe pande zote mbili.
Sikubaliani nawe juu ya hilo la Odinga. Huko mwanzoni, sawa, lakini msukumo ilikuwa ni kudhibiti uhujumu uliokuwepo tokea zamani.
Katika hilo, Magufuli namsifu.

Biashara iliyo wazi hakuna tatizo. Uhujumu HAPANA.

Tutamsikiliza mama atakayosema na tutayapima, na hasa katika utekelezaji wake.
 
Nimekwishaeleza, kama ni biashara, fuata taratibu. Unazuia mahindi kwa kukiuka taratibu mlizojiwekea namna ya kufanya hivyo, bado wewe unaona ni sawa tu? Hiyo ni biashara ya namna gani.

Mambo gani makubwa zaidi ya mahindi ya wakulima wangu? Hapa tu tayari unajionyesha sio mtu wa hapa, ni wa huko mnakojali matumbo yenu zaidi ya wananchi wenzenu.

Hiyo mipaka unayolilia, mlizoea sana kuitumia kuhujumu nchi hii, huyu mama akisinzia tena juu ya hilo hatadumu.

Haya sasa, unaweka mfano wa USA na Canada, kwa hiyo hapa kwetu ni nani USA na ni nani Canada? Mlinganisho huo ndio unaowafanya nyinyi huko mjione bora kuliko mlivyo kiuhalisia!
Hata siku moja hamtakuwa na hadhi ya USA kwa Tanzania, never!
Mbona sisi tulichinja vifaranga vyao vyote.
 
Sikubaliani nawe juu ya hilo la Odinga. Huko mwanzoni, sawa, lakini msukumo ilikuwa ni kudhibiti uhujumu uliokuwepo tokea zamani.
Katika hilo, Magufuli namsifu.

Biashara iliyo wazi hakuna tatizo. Uhujumu HAPANA.

Tutamsikiliza mama atakayosema na tutayapima, na hasa katika utekelezaji wake.
Uhujumu unafanywa na wa Tanzania wenyewe imarisha ulinzi katika mipaka sio unamkuta mkuu wa mkoa anasema kabisa kwenye media waachieni tu huko pande zote mbili wamezoea wanapita tu bila kufuata sheria kwa hiyo mazoea yamekuwa sheria. wanaenda kuuza kule sababu hatukuweka mazingira mazuri na bei shindanishi kumfanya mtu auze madini hapa badala ya kutorosha. Hayo mahindi unayopigia kelele kuna wakati wakulima wanataka kuuza nje bei nzuri kuliko hapa wakapigwa stop sasa nani anayejali hawa wakulima. biashara ni ushindani free trade ila stahiki za serikali zilipwe ni jukumu la watu wa mipakani.
 
Ni vyema Ushirikiano baina ya Tanzania na Kenya Ukaimarishwa zaidi maana sote tunaamini kuwa Bila TANZANIA Hakuna JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI, lkn pia bila Kenya Imara hakuna Afrika Mashariki hivyo utengamano wa mataifa haya ni muhimu sana kwa mustakbali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

1.Mashirikiano ya Kibiashara/masoko kati ya nchi hizi mbili ni muhimu ukaimarishwa zaidi. kwani sote tunategemeana, hakuna sababu ya kutunishiana misuli. viongozi wetu lazima walijadili suala hili kwa kina na kulitolea muafaka.

2. Mashirikiano ya kisiasa, kuna mambo kenya inapaswa ijifunze kutoka Tanzania kuhusu utulivu wa kisia, suala la gender balance lkn pia wajifunze kutoka kwa Rais mwenyewe kuwa na Uwezo wa kushika nafasi ya juu kabisa, huu ni ukomavu kwa Tanzania na wanawake wenye uwezo wanayo nafasi ya kuongoza bila ubaguzi wala unyanyasaji.
wanawake wana uwezo na wanaweza.

3. sio vibaya pia Tanzania ikajifunza namna Kenya ilivyo pambana au inavyo pambana na maradhi ya korona...sio mbaya kuchukua uzoefu.
 
Uhujumu unafanywa na wa Tanzania wenyewe imarisha ulinzi katika mipaka sio unamkuta mkuu wa mkoa anasema kabisa kwenye media waachieni tu huko pande zote mbili wamezoea wanapita tu bila kufuata sheria kwa hiyo mazoea yamekuwa sheria. wanaenda kuuza kule sababu hatukuweka mazingira mazuri na bei shindanishi kumfanya mtu auze madini hapa badala ya kutorosha. Hayo mahindi unayopigia kelele kuna wakati wakulima wanataka kuuza nje bei nzuri kuliko hapa wakapigwa stop sasa nani anayejali hawa wakulima. biashara ni ushindani free trade ila stahiki za serikali zilipwe ni jukumu la watu wa mipakani.
Wewe sasa unaboa.
Ushindani wa kuhujumu sio ushindani.
Ile habari ya kiwanda cha maziwa Arusha ulikwishaisikia?

Najua wewe ni kutoka huko, ndio maana upo hapa ukidhani mama atafanya upuuzi kama ule mliokuwa mkifanya zamani. Hiyo haitatokea tena.
 
wanaenda kuuza kule sababu hatukuweka mazingira mazuri na bei shindanishi kumfanya mtu auze madini hapa badala ya kutorosha. Hayo mahindi u
Uongo.
Magendo na rushwa ndizo kichocheo na sio ushindanishi wa bei.
Mtu anakwepa kulipa kodi stahiki hapa na huko, halafu unakuja hapa kusema uongo?
 
Mipaka ya Nchi zetu mbili; Tanzania na Kenya itumike vizuri kwa wananchi wetu kufanya biashara bila vikwazo au urasimu.
Huo ndio ujirani mwema.
 
Wewe sasa unaboa.
Ushindani wa kuhujumu sio ushindani.
Ile habari ya kiwanda cha maziwa Arusha ulikwishaisikia?

Najua wewe ni kutoka huko, ndio maana upo hapa ukidhani mama atafanya upuuzi kama ule mliokuwa mkifanya zamani. Hiyo haitatokea tena.
Naona umenipa na uraia wa Kenya, Mimi natoa hoja hii ndio shida ya sisi wa Tanzania mtu akitoa mawazo tofauti tu kishakuwa sio Mtanzania. Hujuma za kiushindani zipo kila mahali hata hao wakubwa wanafanyiana hayo kama US na China lakini ugomvi wao utakuta wa kibiashara mwisho wa siku. Viwanda vyetu vinatakiwa kulindwa na sera imara mbona hata sisi Tanzania nchi moja lakini tuliwafanyia hujuma wa Zanzibar na kuuwa biashara za kwa kuweka double taxation wakati zamani ukitoka Zanzibar miaka ya 90 ukinunua TV unakuja nayo huku bure kuona kule vitu rahisi watu wengi wanapanda boat kwenda Zanzibar wakaleta tax tena mwisho wa siku wakauwa biashara za Zanzibar kwa makusudi tu na sisi nchi moja sasa tuite nini hii hujuma? unategemea wa Kenya wasihujumu kulinda maslahi yao? sisi tulihujumu Zenji kulinda Kariakoo waulize watu miaka ya 90 shopping ilikuwa wapi.
 
Back
Top Bottom