KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
- Thread starter
- #141
Tukifanya biashara kwa taratibu tulizojiwekea wenyewe bila ya kutafuta njia za pembeni hakuna atakaye kataa hilo. Nyoosha njia zako, kama umezoea wizi, achana na wizi, kama umezoea kuvuka mipaka kinyemela kinyume cha taratibu, achana na hayo mambo.Bahati mbaya watu hawaelewi investment ya wa Kenya hapa kwetu wanaongoza Africa. Sisi sio maadui ila tunashindana kwa maendeleo ni jambo zuri na Mama anaenda kuweka mambo sawa cross border business lazima irudi kama kawaida tulikuwa na ndege za Kenya 6 times a day leo sijui mara 3 kwa wiki na uhakika tutaanza kuona biashara tena kwa wingi na sote tunahitajiana sana tu.
Biashara ziendeshwe kitaratibu, sio kutafuta kuhujumu nchi.