MPUNGA MMOJA
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 304
- 401
Rais Mama Samia Suluhu ametangaza atakutana na kuzungumza na vyama vya Upinzani chini.
katika kujenga muktadha wa demokrasia nchini.
katika kujenga muktadha wa demokrasia nchini.
Tukumbuke kuwa mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe katika waraka wake kwa Rais Samia alimuomba kama itampendeza aitishe mkutano na viongozi wa vyama vya siasa ili wajadili siasa za nchi na kuanza ukurasa mpya.
Ombi hili limekubalika..
Ramadhan Kareem!