Rais Samia kukutana na viongozi wa Vyama vya Siasa

Rais Samia kukutana na viongozi wa Vyama vya Siasa

siyo watanuna bali wamenuna , na uzuri ni kwamba nitakuwepo na nitapewa muda wa kuzungumza , nimepigiwa simu dk 3 tu zilizopita , nasema hivi nitafunguka kila kitu , subirini , hii nchi ni yetu sote .
wew kondoo kaa kimya!
 
Huu ni wakati wa MATHA= Make Tanzania Happy Again.

Rasmi tumezika MATAGA. Sijui wanapumulia wapi muda huu.

Mungu ametuletea mkombozi.

Hii ndiyo Awamu ya 6 yenye kuheshimisha Tanzania tena mbele ya Watanzania na dunia nzima.
Sio MATHA bali sema MACHA. Make Chagga Happy Again.
 
Mbowe ni Mwamba wa siasa za Tanzania, nani mwenye akili timamu ambaye hatapenda kumsikiliza, Madam President kafanya jambo la msingi sana, Mungu azidi kumpa hekima.
Mbowe hakuna cha ajabu alichoifanyia siasa ya Tanzania. Akina maalim seif, Christopher mtikila , NK. Mbowe ni mroho wa Madaraka na angepata nafasi ya uongozi ni jambaxi mkubwa Sana
 
Rais Mama Samia Suluhu ametangaza atakutana na kuzungumza na vyama vya Upinzani chini.

katika kujenga muktadha wa demokrasia nchini.
Mataga, sukuama gang, chawa, na wengine wote hasa chakubanga watakuwa wamenuna sana leo.
 
Hii nimeipenda. Mama yuko vizuri na ni msikilizaji. Mbowe alisema wamemuandikia barua na mama kathibitisha kaipokea. Nadhani sasa wapinzani wataanza kuishi vizuri kwenye nchi yao. Nimependa ile statement ya mama kuwa wote sisi nchi ni yetu. kumbe nchi siyo ya watu fulani!!!!
Watu wa CCM wakiisoma hii watanuna😄
 
Hapo CCM watanuna.
Watanuna au walinuna! Ulisikia vigelegele vilipungua sana, na hasa alipoongelea suala la demokrasia. Miaka mitano na miezi 5 ya utawala wa Jiwe hawakuwahi kusikia hayo.
Ni kama vile hawakuamini masikio yao kama yanasikia sawa sawa!!
 
MaTAGA
giphy.gif

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Rais Mama Samia Suluhu ametangaza atakutana na kuzungumza na vyama vya Upinzani chini.

katika kujenga muktadha wa demokrasia nchini.
Hata akikutana anataka wajadili jinsi ya kufanya siasa zenye tija kwa nchi.

Maana yake baada ya kukutana hatutarajii kuwaona akina Lisu wakiponda Atcl, Sgr, bwawa la Nyerere kuwa ni miradi ya hovyo badala yake wataanza kusema hiyo ni miradi ya watanzania.


Kwa akili za kina Mbowe wanahisi mama ataenda kuwaruhusu kufanya maandamano kila siku.
 
Back
Top Bottom