Rais Samia kukutana na viongozi wa Vyama vya Siasa

Rais Samia kukutana na viongozi wa Vyama vya Siasa

Huyu gaidi saiv analiwa na wadudu taratibu wala hafurukuti
Babu yako yuko wapi sasa hivi? Je kuna ratiba ya kutangulia? Akiba ya maneno inaweza kukusaidia kwani wewe mwenyewe hujui ratiba yako.
 
siyo watanuna bali wamenuna , na uzuri ni kwamba nitakuwepo na nitapewa muda wa kuzungumza , nimepigiwa simu dk 3 tu zilizopita , nasema hivi nitafunguka kila kitu , subirini , hii nchi ni yetu sote .
Ngoja ifike 2025 muone kichapo mtakachopewa ni bora mdili na adui asiyejificha
 
Babu yako yuko wapi sasa hivi? Je kuna ratiba ya kutangulia? Akiba ya maneno inaweza kukusaidia kwani wewe mwenyewe hujui ratiba yako.
Kufa sio tatizo hata nikifa leo.
Maana yangu aliyedhani ndege za kijeshi, bunduki na kukalia vyombo vya dola kibabe huku akiua wengine leo hii wadudu wanampekecha hawezi hata kugeuka
 
Bavicha 2025 mkihurumiwa sana mtambulia wabunge 5 ndio uwezo wenu ulipoishia
 
Huu ni wakati wa MATHA= Make Tanzania Happy Again.

Rasmi tumezika MATAGA. Sijui wanapumulia wapi muda huu.

Mungu ametuletea mkombozi.

Hii ndiyo Awamu ya 6 yenye kuheshimisha Tanzania tena mbele ya Watanzania na dunia nzima.
Msiwe na matarajio makubwa sana kwani huyu mama hatabiriki
 
Tutaelewana tu mdogo mdogo. Ile mikutano ya hadhara ya kitapeli ya wanasisa wa upinzani kila itwayo leo haina nafasi. Itasubiri kipindi cha uchaguzi husika. Zilongwa tumesikia ni mulemule viwango vya mwendazake tusubiri utendaji tu. Uko ule msemo maarafu Uzàramoni wa zilongwa zitendwa....!

Tuseme nini tena? Heshima , Ukuu, Sifa na Utukufu twa mrudishia Mwenyezi Mungu wa Mbinguni.
Umeandika uduvi gani hapo? Hebu soma halafu jitukane mwenyewe
 
Wakati wa Uongozi wake, Hayati JPM alikutana na kufanya mazungumzo na viongozi kadhaa wa upinzani Kama marehemu Maalim Seif, James Mbatia, John Cheyo na Mh Mrema. tunaweza sema chama ambacho hakukutana nacho ni CDM kwa sababu ya tabia yao ya kupinga kila kitu
 
siyo watanuna bali wamenuna , na uzuri ni kwamba nitakuwepo na nitapewa muda wa kuzungumza , nimepigiwa simu dk 3 tu zilizopita , nasema hivi nitafunguka kila kitu , subirini , hii nchi ni yetu sote .
Safi sana Mkuu.
 
Wakati wa Uongozi wake, Hayati JPM alikutana na kufanya mazungumzo na viongozi kadhaa wa upinzani Kama marehemu Maalim Seif, James Mbatia, John Cheyo na Mh Mrema. tunaweza sema chama ambacho hakukutana nacho ni CDM kwa sababu ya tabia yao ya kupinga kila kitu
Matokeo ya mazungumzo hayo ilikuwa nn Kama Sio bure kabisa
 
Sawa tumeona. Kwa hiyo hii ya SSH haina jipya?

..labda kuna jipya.

..Rais Samia naye ameona hizo picha, na alihudhuria mkutano wa Magu na Maalim Seif.

..tuombee mazungumzo yake na viongozi wa vyama mbadala yawe na matokeo mazuri.
 
Polepole na bashiru huko waliko wanasonya tu kama mwanamke mwenye mimba
 
Polepole na bashiru huko waliko wanasonya tu kama mwanamke mwenye mimba
 
Back
Top Bottom