Rais Samia kukutana na viongozi wa Vyama vya Siasa

Rais Samia kukutana na viongozi wa Vyama vya Siasa

Huu ni wakati wa MATHA= Make Tanzania Happy Again.

Rasmi tumezika MATAGA. Sijui wanapumulia wapi muda huu.

Mungu ametuletea mkombozi.

Hii ndiyo Awamu ya 6 yenye kuheshimisha Tanzania tena mbele ya Watanzania na dunia nzima.
 
Tutaelewana tu mdogo mdogo. Ile mikutano ya hadhara ya kitapeli ya wanasisa wa upinzani kila itwayo leo haina nafasi. Itasubiri kipindi cha uchaguzi husika. Zilongwa tumesikia ni mulemule viwango vya mwendazake tusubiri utendaji tu. Uko ule msemo maarafu Uzàramoni wa zilongwa zitendwa....!

Tuseme nini tena? Heshima , Ukuu, Sifa na Utukufu twa mrudishia Mwenyezi Mungu wa Mbinguni.
 
Rais Mama Samia Suluhu ametangaza atakutana na kuzungumza na vyama vya Upinzani chini.

katika kujenga muktadha wa demokrasia nchini.
Hii nimeipenda. Mama yuko vizuri na ni msikilizaji. Mbowe alisema wamemuandikia barua na mama kathibitisha kaipokea. Nadhani sasa wapinzani wataanza kuishi vizuri kwenye nchi yao. Nimependa ile statement ya mama kuwa wote sisi nchi ni yetu. kumbe nchi siyo ya watu fulani!!!!
 
MaTAGA
giphy.gif
Mataga anachungulia!!!! Hivi mataga ndiyo nani?
 
Ni mbinu ya kupata fedha za 'mabeberu' tu, wala haitoki moyo

Tutaelewana tu mdogo mdogo. Ile mikutano ya hadhara ya kitapeli ya wanasisa wa upinzani kila itwayo leo haina nafasi. Itasubiri kipindi cha uchaguzi husika. Zilongwa tumesikia ni mulemule viwango vya mwendazake tusubiri utendaji tu. Uko ule msemo maarafu Uzàramoni wa zilongwa zitendwa....!

Tuseme nini tena? Heshima , Ukuu, Sifa na Utukufu twa mrudishia Mwenyezi Mungu wa Mbinguni.
Yaani we bado uko awamu ya tano? Wenzio tuko ya sita na mama yetu!!! Viva mama president! Aluta continua!!!!
 
Back
Top Bottom