mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Safi mkiitwa nendeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona siku press za slowslow hazipo kwani walishamnyang'anya uenezi?Polepole na bashiru huko waliko wanasonya tu kama mwanamke mwenye mimba
legacy ya mwendazake lazima ivunjwe kwa masilahi mapana ya mama Tanzania
haituhusu we ndo unaye teseka.we kubali amekufa bac mengine yanaendeleaJPM amefariki. Mbona mnateseka sana. Sasa yeye na yanayoendelea yanamuhsuu Nini. Mifuko ya barabara nk Ni utendaji Wake ule ingawa marais walikuwa wengine. Au wakiomgea wakina Mwinyi nk hamsikilizi. Amemaliza Kazi yake. Tumwache Mama yetu atuongoze. So unamwonea wivu hata marehemu. Kweli JPM kawaweza.
vip maza atavunja legacy ya meko kwa kupiga marufukuSiasa za majukwaa zitarejea upya
Wanune tu. Kwanza sample yao ni hao wanaodemka bungeni. Hebu tuone kama mama atatupeleka kuwa serious na serious isues. Tuone kama wataacha kudemka. Tatizo moja naliona hawa watu waliopo mjengoni qualifications ni kusoma na kuandika. Tunategemea wataacha kudemka? Hii ndiyo kazi pekee wanayoiweza!!! kuanalyse issue au kupanga mikakati wanaweza? Kuisimamia serikali kweli wanaweza? Wanahoji taarifa za CAG? Hivi wanadhani CAG kapika hizo taarifa? Apike kwa manufaa ya nani?Watu wa CCM wakiisoma hii watanuna😄
Nawaapia ule 'ukoo wa shetani' utamnunia huyu Mama yetu kipenzi Raisi SHH ktk hili kwa sababu zifuatazo;
- Wamezoea 'kuishi ktk damu' ( mama yetu ni mtu wa dini na hapendi haya kabisa yasije kumfungia pepo)
- Wamezoea wizi, ujambazi, dhuluma na unyanyasaji ( Mama yetu SHH ni mtu wa Allah na Allah hataki hayo)
- Wamezoea kuishi ktk mafarakano (kwa kuwa ni wa ukoo wa shetani) wakumbuke kuwa mama yetu SHH ni wa ukoo wa Allah
Hunijui, sikujui, njaa yangu au pesa zangu zinakuhusu nini wewe, hangaika na maisha yako mkuu, mambo ya mtandaoni sio ya kuvalia kibwaya, utakufa kwa shinikizo la moyo.Zinakuongezea pesa mfukoni ama ndio njaa tupu
Povu la kithe.nge....Hunijui, sikujui, njaa yangu au pesa zangu zinakuhusu nini wewe, hangaika na maisha yako mkuu, mambo ya mtandaoni sio ya kuvalia kibwaya, utakufa kwa shinikizo la moyo.
Hahahaaa..... JF raha sana.MaTAGA![]()
Reserve your optimism. It is too early to judge. Don't forget the possible resistance from some of the CCM die-hard.Hatua hii ni kete nyingine inayomuweka Mama na mwendazake katika utofauti wa Mbingu na Dunia! Mzee kafuta miaka yote mitano hakuwahi kufanya kitu kama hiki pamoja na kuombwa hadi na viongozi wa dini! Mama aa mwezi mmoja tu madarakai tayari kauona umuhimu wa jambo hili! tuzidi kumuombea hekima na ulinzi wa Mungu akaendelee kusimama katika mstari wa haki na kutenda yampasayo kutenda!
Yes! Thats why i have spoken my comment in connection with GOD , Because i know in presense of GOD nobody can stop the good willing of our Madam President!Reserve your optimism. It is too early to judge. Don't forget the possible resistance from some of the CCM die-hard.