MPUNGA MMOJA
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 304
- 401
Tukumbuke kuwa mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe katika waraka wake kwa Rais Samia alimuomba kama itampendeza aitishe mkutano na viongozi wa vyama vya siasa ili wajadili siasa za nchi na kuanza ukurasa mpya.
Ombi hili limekubalika..
Ramadhan Kareem!
Gaidi alikuwa hataki wengine wafanye siasa kazi kununua mamlukiNaona nchi ikielekea kupona majeraha
Ni mbinu ya kupata fedha za 'mabeberu' tu, wala haitoki moyoni.Rais Mama Samia Suluhu ametangaza atakutana na kuzungumza na vyama vya Upinzani chini.
katika kujenga muktadha wa demokrasia nchini.
Alikuwa anataka kila anayefungua mdomo, basi amsifu yeye.Gaidi alikuwa hataki wengine wafanye siasa kazi kununua mamluki
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Hongera mama kwa hili acha tufanye mikutano yetu kama wakati wa Kikwete, mambo yatakuwa mazuri sana.Rais Mama Samia Suluhu ametangaza atakutana na kuzungumza na vyama vya Upinzani chini.
katika kujenga muktadha wa demokrasia nchini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo CCM watanuna.
We Raia HahaaaaaNi mbinu ya kupata fedha za 'mabeberu' tu, wala haitoki moyoni.
Kabisa makofi yalikuwa machache
Kwani ulikuwa hujui mikutano hiiTukumbuke kuwa mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe katika waraka wake kwa Rais Samia alimuomba kama itampendeza aitishe mkutano na viongozi wa vyama vya siasa ili wajadili siasa za nchi na kuanza ukurasa mpya.
Ombi hili limekubalika..
Ramadhan Kareem!