900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
legacy ya mwendazake lazima ivunjwe kwa masilahi mapana ya mama TanzaniaRais Mama Samia Suluhu ametangaza atakutana na kuzungumza na vyama vya Upinzani chini.
katika kujenga muktadha wa demokrasia nchini.
hiki kilikuwa kijiwe cha kuua chademaKwani ulikuwa hujui mikutano hii
View attachment 1760571
View attachment 1760573
View attachment 1760574
View attachment 1760577
View attachment 1760580
The yesterday that was wasted...!!!Kwani ulikuwa hujui mikutano hii
View attachment 1760571
View attachment 1760573
View attachment 1760574
View attachment 1760577
View attachment 1760580
Edit kidogo mkuu, isomeke ‘kuua’ badala ya ‘kua’!hiki kilikuwa kijiwe cha kuua chadema
Wamejizoesha kula haramu,Mama Samia ni Muislam Safi na mtu wa Haki kwanza.Akiwalegezea kidogo tu wanamlisha haramu.Hapo CCM watanuna.
Chagema siyo ajenda ya nchi; ajenda yetu ni maendeleo ya Tiafa. Magufuli katuachia mengi mazuri kuliko hilo la kuua chadema.hiki kilikuwa kijiwe cha kuua chadema
Kumbe vyama vya upinzani vina umuhimu wake.Ni mbinu ya kupata fedha za 'mabeberu' tu, wala haitoki moyoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Legance ndio nini?Hii sio Legance ya mwendazake.
Hawa vibaraka wa CCM we unaita wapinzani?Kwani ulikuwa hujui mikutano hii
View attachment 1760571
View attachment 1760573
View attachment 1760574
View attachment 1760577
View attachment 1760580
Hii nimeipenda. Mama yuko vizuri na ni msikilizaji. Mbowe alisema wamemuandikia barua na mama kathibitisha kaipokea. Nadhani sasa wapinzani wataanza kuishi vizuri kwenye nchi yao. Nimependa ile statement ya mama kuwa wote sisi nchi ni yetu. kumbe nchi siyo ya watu fulani!!!!Rais Mama Samia Suluhu ametangaza atakutana na kuzungumza na vyama vya Upinzani chini.
katika kujenga muktadha wa demokrasia nchini.
Mataga anachungulia!!!! Hivi mataga ndiyo nani?MaTAGA
siyo watanuna bali wamenuna , na uzuri ni kwamba nitakuwepo na nitapewa muda wa kuzungumza , nimepigiwa simu dk 3 tu zilizopita , nasema hivi nitafunguka kila kitu , subirini , hii nchi ni yetu sote .Hapo CCM watanuna.
Blaza embu tuache usizidi kutuchanganya bana.MaTAGA
Upinzani maana yake ni nini? Kukwidana mashati?Hawa vibaraka wa CCM we unaita wapinzani?
Ni mbinu ya kupata fedha za 'mabeberu' tu, wala haitoki moyo
Yaani we bado uko awamu ya tano? Wenzio tuko ya sita na mama yetu!!! Viva mama president! Aluta continua!!!!Tutaelewana tu mdogo mdogo. Ile mikutano ya hadhara ya kitapeli ya wanasisa wa upinzani kila itwayo leo haina nafasi. Itasubiri kipindi cha uchaguzi husika. Zilongwa tumesikia ni mulemule viwango vya mwendazake tusubiri utendaji tu. Uko ule msemo maarafu Uzàramoni wa zilongwa zitendwa....!
Tuseme nini tena? Heshima , Ukuu, Sifa na Utukufu twa mrudishia Mwenyezi Mungu wa Mbinguni.
Silinde na Waitara hawakushangilia kabisa.Kabisa makofi yalikuwa machache