Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa.
Samia na serikali yake HARAMU wakumbushwe hili, madai yetu Wananchi ni kama ifuatavyo;

1. SERIKALI YA MPITO
2. MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI
3. UCHAGUZI MPYA.

Yakifanyika hayo mbona ni rahisi sana kupata utulivu? Kwanini hawa MAJANGILI hawataki hii plan? Ina ubaya gani?
 
Listen to a Serial Killer number One
 
Anaweza kuja hufanya hali iwe mbaya zaidi maana kauli zake huwa ni tata sana.
 
Wrong forum.....wrong audiance...staili ile ya kale ya JK ...outdated technique....
She has a long way to go.....
Who cares about wazee wa dar?....hawa watoto wa kizazi hiki?...
Kituko
She thinks wazeee bado wana nguvu over kizazi hiki

She will be humbled and suprised
 
Ataita vibabu vilivijichokea na kuwaita wazee wa Dar uzuri kama ushirikina ungekuwa unafanya kazi watu wasingetoka mo29
 
Yaani anataka kupitia kwa thirdparty(wazee wa Dar), Kwanza hao wazee si ni wale wastaafu wa serikali za CCM. Akaongee na vijana badala ya wazee.
 
Naomba qualifications za kuwa mzee wa dar es salaam.

Kwa faida ya wengi napenda kujua qualifications za kuwa mzee wa dar es salaam

PENGINE NA MIMI NA VIGEZO VYA UZEE WA DAR ES SALAAM

Mshana Jr
SECRETARY BIRD
Kuwa chawa tu mkuu hahahaaah
By the way kweli huyu mama mshauri wake mkuu itakuwa ni jk...hizi staili kuhutubia wanaoitwa wazee wa dar alikuwa akiitumia sana mkwere miaka yake ilee iliyokuwa na makashfa kibao ya ufisadi!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…