Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hatutaki kuhutubiwa achana na sisi unamuhutubia nani sisi sio wenzako
 
Asije kuanza kusema "hawa ICC wasilete zao maana hakuna cha nywinywinywi wala nywinywinywi!"
Ajue kama SADC hawajamtambua, AU na EU au hata washirika wao ACT Wazalendo Sasa Urais wake nani kamtambu? Hiyo 98% kaipata kwa nani?
Au hiyo 98% ni katika ule mkutano mkuu wa CCM?
 

Baada ya kuwekwa madarakani kwenye kambi ya jeshi
 
Samia na genge lako achia nchi yetu hatukutaki hatutaki kuhutubiwa unamuhutubia nani sasa hakuna mjadala na muuwaji.

Utawala wako umeuwa watu wengi sana sasa inatosha kaa pembeni ukijifanya jeuri na sisi tutajifanya jeuri mara sabini.
 

Pilau, soda , bia na sigara kali za bure zitakuwepo , bila kusahau pair za kanga na vikoi .
 
kwa akili ipi??
 
Nachosikika ni kwamba kwanini hawa viongozi wanapenda sana kuhutubia? Yaani ni wao tu ndo wakuwaambia wananchi?

Wamuige hata mkata basi, Baada ya Lile tukio aliitisha mkutano akasema Tusemezane.

Watu watoe ya Moyoni, Watu wakiongea Uchungu unapungua, Hasira zinaisha na mambo yanaendelea, Sasa mnataka msikilizwe nyie tu?
 
Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa.
Kwamba ataliutubia taifa? Taifa gani? Yeye aseme tu atawahutubia makada wa ccm ambapo yeye ni mwenyekiti wao.. Watakaomsikiliza ni machawa wake kina sheikh ubwabwa na Zuchu .

#D9 tutakuwepo atusikilize tusiomtaka aongoze Tanganyika.
 
Umewasemehe Vijana,
Umemfungulia Askofu Gwqjima,
Ni muda sahihi sasa wa kumwachia Mtu wa watu Lissu na wakina Mdude
 
Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam ndiyo watu gani au anakusanya waganga, wachawi na wapiga ramli aone kama watamnyoishea mambo.
Gen Z ndiyo wanaopigania future yao, huyo haramu mkutano wake na chawa wake sisi hautuhusu.
D9 do or die.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…