Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Watajaa MASHEIKH UBWABWA WAKIONGOZWA NA YULE ANAYETAKA KUKATA WAKRISTO VICHWA

Wakristo msuthubutu kwenda hapo
 
ATANGAZE KUJIUZULU NJE YA HAPO Msitupotezee muda.

ICC ni yenu liwake jua inyeshe mvua.
 
Akiongea inakuwa heri hakuongea tu.

Kwa nini asiwe tofauti akaongea na vijana wa DSM japo najua wataandaliwa UVCCM!!
 
 
Tukae kwa kutulia. Huenda anakuja ku resign uraisi baada ya fukuto la D9 kupamba moto.
Labda arogwe. Sio kwa akili zake.

Wanawake jata kwenye familia hawakubaligi kushindwa wakikosea
 
Mipashooo kama kawaida....

ICC, EU, SADC, Thabo Mbeki....hamuniwezi hata kwa udole, alonipa mimi ndo kawanyima nyie...
Mzee Yusuph mkono wa dhahabu waleteee!
Mzee yusufu.huwa ana mpiga.kinanda anaitwa Jumanne ulaya wapeleke,
 
Rais wa nani?
 
Kama akija na mtizamo ule ule wa kujitetea na kulaumu wananchi hatutapiga hatua. Namuombea hekima aseme kile wananchi wanategemea.

Watu wamefiwa, dawa ya kwanza kwa wafiwa ni faraja. Namtakia kila lakheri kesho.
 
Anakusanya Wachawi wake au siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…