Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Samia yupo sana mpaka 2030, ceteris paribus.

Hii nchi wangeichukua akina Bashiru Ally au Job Ndugai kama walivyotaka kabla Mabeyo CDF hajaongilia kati, saa hizi tungekuwa na shida kubwa.
Hahaaa.........na sasa hivi hiyo shida mnatupa nyinyi......kutesa kwa zamu😆😆😆
 
Nimekuuliza swali. Je wewe ni mmoja wa watu ninaowaongelea?
Nimesema Watu wote wenye akili wanajua Mbwa mpumbavu ni nani.

Fumbo mfumbie mjinga mwelevu ataling'amua. Je, wewe ni kati ya watu ninaowaongelea?
Mkuu najua Kiswahili fasaha hukuuliza bali ulisema mimi ni mpumbavu rudia kusoma post yako # 52. Umenikosea.
 
Unatakiwa sasa uanze kujifunza kuswahili Sanifu
Achana na kiswahili fasaha
Sasa ulitegemea baada ya kuniita mpumbavu mimi ni kuchekee, hapana, ungeuliza ningeelewa wewe umenitukana tena bora ungesema mjinga lakini kuniita mpumbavu halafu utegemee twende sawa, hapana.
 
Ndo imetoka hiyo
 
Sisi hatujazaliwa Tanganyika. Tumezaliwa Tanzania. Usitukumbushe Ukoloni
 
Sasa ulitegemea baada ya kuniita mpumbavu mimi ni kuchekee, hapana, ungeuliza ningeelewa wewe umenitukana tena bora ungesema mjinga lakini kuniita mpumbavu halafu utegemee twende sawa, hapana.
Wapi nimekuita mpumbavu?
Nimesema:-
Watu wenye akili tunajua Mbwa Mpumbavu ni nani

Je, na wewe unamjua? Kama humjui wewe siyo sehemu ya wale ninaowaongelea.
Mbona simple tu.
 
Wapi nimekuita mpumbavu?
Nimesema:-
Watu wenye akili tunajua Mbwa Mpumbavu ni nani

Je, na wewe unamjua? Kama humjui wewe siyo sehemu ya wale ninaowaongelea.
Mbona simple tu.
Soma tena post yako # 52, una tatizo la kusahau, relax dogo.
 
Soma tena post yako # 52, una tatizo la kusahau, relax dogo.
Upumbavu ni sifa. Je, unaikataa sifa hiyo? SIfa hiyo haikataliwi kwa maneno tuoneshe kama wewe siyo mpumbavu kwa kutoa analytical comments.
 
UWT ya wapi mdogo wangu, kutoka ubeligiji. Leta hoja hapa tunaongelea Mbwa Mpumbavu
Je, umeishiwa hoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…