Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Rais si atoe amri wahusika waliofanya huo Utapeli washughulikiwe badala na yeye kulalamika?Kwa Hali ilivyo ndani ya serikali ya mama yetu naona kuna upigaji wa hali ya kutosha.
Mama wa watu amebakia kulalamika kila kukicha kisa wasaidizi wake yaani mawaziri kushindwa kuzilinda rasilimali za nchi.
Ebu tumsikikize alafu tumpe ushauri mzuri wa nini kifanyike ili kunusuru rasilimali za watanzania.View attachment 2936008
Wahuni wameamua kulikausha taifaKosa ni lake mwnyw mana hana kauli ya urais, kila jambo unasema tuu mkalitizame huo ni ujinga
🤣🤣🤣🤣🤣Huyu mama bado kidogo tu watamzunguka na kumkopa mwenyewe!🤭🤭🤭