Rais Samia: Kuna mtu kakopa benki zetu 5 katoweka

Rais Samia: Kuna mtu kakopa benki zetu 5 katoweka

Wale wenzangu wenye nia njema na rasilimali za taifa hili, wekeni azimio basi TUFANYE NINI, TUCHUKUE HATUA GANI, hata kama ni dogo kiasi gani, lakini liwe na impact.

Tusije tukawa tunajilalamisha pia kama the so-called rais wa nchi.

Mitandao ya kijamii imetuleta karibu zaidi kuliko wakati mwingine wowote uliopita. Hebu tutumieni fursa hiyo kwa manufaa mapana ya nchi.

Hizo billions zingejenga shule ngapi? Hospitals? Zingewahudumia akina mama wangapi? Zingesaidia katika maeneo mengi. Au hawa kusaidia kushughulikia tatizo kubwa na sugu la ajira nchini.

LET'S DO SOMETHING! HEBU TUWEKE KANDO POROJO, TUCHUKUE HATUA! TUWAFUNDISHE VIONGOZI VIPOFU NAMNA BORA YA KUTAWALA NCHI.

Nawasilisha.

#MaendeleoHayanaChama
 
Atadumu sana tu. Mzee baba alikuwa mgonjwa kitambo na hilo lipo wazi. Na ndicho chanzo cha kifo. Mbona katawala miaka 6 mizima alibakiza miine tu?! Hujiulizi hata hilo nalo? Hii nchi inahitaji mbabe hasa kuliko hata JPM
Kweli kabisa
 
.........rais Samia kwa sasa anafahanu mengi kuhusu uongozi wa nchi serikali na watendaji Kwa ujumla lakini yeye ni mtu mwenye subira na mvumilivu sana..... ndo maana watu wanaona kama mambo yanaharibika au hachukui hatua, hii sio kweli huyu mama ni menda haki.......na niseme tu zinakuja siku ambazo mama atachukua hatua kali sana Kwa baadhi ya watendaji na watu hawataamini........ni swala la muda tu......

Kwenye ripoti ya cag mama kapuyanga sana!
Bora hata asingeongea tu! Tunajua ni mtendaji lakin hili suala la kuongea apunguze kidogo ameshaanza kujisahau tena anarudi kule kule alipotoka!
Unakumbuka alivyoboronga kwenye interview ya bbc kuhusu mbowe?
Nadhan walimuweka chini akajirudi sasa ameanza tena kujisahau!
 
Mwenye kufahamu kwa ujumla hasara tuliyopata kutokana na upigaji na hatua Madame Presidaa alizochukua, hizi za yakhe waitwa Post sio wakati wake!!!
Watu wameiba na ushahidi umepata unataka wakakae nao tena, Rais Ng'ata sasa kubweka tu hakutoshi vyuma vimezoea kupiga na vimekaa pale.
Mama anatakiwa avunje mwiko dhidi ya hao mastupid aliyoyabaishiwa
 
Ukitaka kujibu hoja za mtu mzima upaswa ujitawaze kwanza hoja yangu ya msingi ni kuweka mazingira ya uwazi kwa serikali kuikubali kuwajibika baada ya kupokea ripoti ya CAG. Kifungu cha 28 cha sheria ya ukaguzi wa umma na 11.ya mwaka 2008 ndicho kinachompa mamlaka CAG kufanya yake. 1.5tr hazikujulikana zilipo licha ya polepole kuja na hesabu zake zisizoleweka. Unachopaswa kujua haya mambo hayataki double standard inapoonekana kuna leakage ya mapato yetu tuwe na maoni ya pamoja sio kutoka mapovu.
Nikakwaambia amna haja ya kukaza fuvu hivyo asadi huyu huyu si alishaalitolea ufafanuzi au umerudi jana kutoka ughaibuni
 
Mzee baba mwenyewe ripoti kama hizi aliziogopa sana tu rejea kutenguliwa kwa prof Assad, watanzania tunatabia za kinafiki sana si ajap kuona tunamtukuza rais kuliko taifa lenyewe. Rais sio Mungu wala Malaika Kuna muda na wakati anaitaji msaada kisayansi, kimedani na ujuzi kuweza kukabiliana na uvujaji wa mapato ya nchi.
Asad alitenguliwa kwa sababu ya kutumiwa vibaya na kina Zitto wala si hayo unayoyadhani. Na pia walikjwa ba bifu Zitto na mzee Baba la miaka. Alishawahi kumuita Mjasiriamali wa siasa na wala hafai kitu. Nyakati jamaa akiwa waziri.
 
Rais analalamika badala ya kuchukua hatua.Sasa sisi unatuambia ili tufanyeje sasa?wananchi tunataka utuambie nimechukua hatua hii basi na siyo malalamiko
 
Kwa Hali ilivyo ndani ya serikali ya mama yetu naona kuna upigaji wa hali ya kutosha.

Mama wa watu amebakia kulalamika kila kukicha kisa wasaidizi wake yaani mawaziri kushindwa kuzilinda rasilimali za nchi.

Ebu tumsikikize alafu tumpe ushauri mzuri wa nini kifanyike ili kunusuru rasilimali za watanzania.
 
If you can’t use your internal security team to handle national resources don’t expect a good result,marehemu alitumia sana usalama wa taifa kufanya kazi zake and he wasn’t lege lege sometimes African society ukienda nayo kimasihara wanakupanda kichwani
 
Back
Top Bottom