Rais Samia: Kuna mtu kakopa benki zetu 5 katoweka

Alikuwa anachukua hatua
Hatua zipi bro kutisha au kufoka, kiini macho cha trioni moja na nusu kiliishia wapi, tatizo la Tanzania ni la kimfumo na muundo wa utawala na maamuzi, yaani top down decision making process. Watanzania wanacheza na biti ikija raggae au lukasa ya mbongo twende yaani ukiwa mkali utapigwa, ukiwa mpole utapigwa tu
 
Kama sijakosea kipindi cha Mkapa au Mwinyi Senior Chavda alifanya utapeli wa aina hii
 
Yeye na mawaziri wake walikuwa wapi mpaka hayo yanatokea .
 
Ukiwa rais hayo mambo ya uvumilivu ni ujinga unajua mtu akiiba fedha ya umma anakuwa ameua watnzania wangapi .kama mtu anaona uraisi hauwezi akae tu pembeni watu wenye maamuzi ya kuliokoa taifa wafanye kazi
 
Wakati anakopa TISS, BOT, Waziri, KM, CEO na baraza la mawaziri mlikuwa wapi? Mfumo wa wizi Tanzania unaanza na wakubwa kushuka chini
 

Sisi kama Wana chato hatuna cha kumsaidia. Maana wanamsifia anavimba kichwa kumbe wanaiba
 
Mama ukumbuka uliposema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake - sasa kamba zenyewe ndiyo hizi.
 
Eti tanzania nako tuna raisi au rahisi
 
Kwahiyo kwasasa tuendelee kuchechemea na kula kwa urefu wa kamba!!

Kwakweli hili nalo mkalitizame.
 
Tanzania inatakiwa kuongozwa na mtu jamii ya Hitler tu

Ova
tatizo ni mfumo wetu, kila kitu lazima kingoje maamuzi ama utashi wa Rais wa nchi why? hatuna mfumo wa kudhibitiana wenyewe kwa wenyewe huko chini, sasa hasara yake ukipata Rais mvivu ama ana interest nchi inafirisika na unakuwa na majitu mapiga dili ofisi zote za umma.

Bunge letu nalo ndiyo hivyo tena linaongozwa ki itikadi AKA dhaifu sasa, sasa nani amdhibiti nani. Tuna riport nyingi tu za miaka ya nyuma je auding zake zote zillikuwa closed and published? kama siyo kwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…