Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Haya ni matokeo ya uchaguzi wa chama kimoja mkuu, hakuna wa kumfunga paka kengelekeHii ndo akina mbowe wameifurahia kuanzia zitto na mbowe si unaona wstu wapo kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ni matokeo ya uchaguzi wa chama kimoja mkuu, hakuna wa kumfunga paka kengelekeHii ndo akina mbowe wameifurahia kuanzia zitto na mbowe si unaona wstu wapo kimya
Hotuba yake yote analalamika tu mm nahisi haelewi nguvu ya kimamlaka aliyokuwa nayo, 2025 atupishe kwakweli maana hatufai kwanza katurundikia mitozo Kila mahali, bei ya nafaka inazidi kupaa, maisha ya wananchi yanazidi kuwa magumu mbaya zaid watu wanatafuna pesa zetu sasa ya nn kuendelea kuwepo madarakani?Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo wakati akipokea Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Ikulu Jijini Dar es salaam amehoji kuhusu mikopo chechefu na kusema kuna baadhi ya Maafisa wa Benki wanashirikiana na Wateja kupitisha mikopo kinyume na inavyotakiwa kisheria.
“Kuhusu mikopo chechefu na yenyewe unajiuliza why mikopo chechefu?, hivi ingekuwa Benki zinazotoa mikopo ni Benki binafsi kwenye rekodi zao kungekuwa na mikopo chechefu?, kusingekuwa, wetu sisi wa Serikali wanashindwa nini mpaka kunakuwa na mikopo chechefu?, kuna ushirikiano baina ya Maafisa wa Benki na hao wanaoenda kukopa, andika nitakupitishia ukipata chako hiki changu hiki, hailipiki tunasema mikopo chechefu”
“Kuna Mtu, Mfanyabiashara kakopa Benki zetu sita sijui tano Mabilioni kila Benki, kachukua fedha yetu kaitoa nje na yeye kaondoka, leo tunasema mikopo chechefu mlipompa huyu!, dhamana zote alizoweka ni feki, zote feki, kama sio ushirikiano kitu gani?
Lakini Watu wanazunguka tunawatazama, wapo na wanajua walichokifanya, hii mikopo chechefu itachechemea mpaka tujirekebishe na inapochechemea na Nchi inachechemea”
WANAJAMVI HEBU TUJUZANE HUYU ANAYETAJWA HAPA NI NANI?
Manji hayupo Tz toka zamani sana haya madudu ni ya juzi juziNadhani ni aliyekuwa Diwani wa Mbagala na nyumba yake ya kimagumashi pale Sea View
Yusuf ManjiRais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo wakati akipokea Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Ikulu Jijini Dar es salaam amehoji kuhusu mikopo chechefu na kusema kuna baadhi ya Maafisa wa Benki wanashirikiana na Wateja kupitisha mikopo kinyume na inavyotakiwa kisheria.
“Kuhusu mikopo chechefu na yenyewe unajiuliza why mikopo chechefu?, hivi ingekuwa Benki zinazotoa mikopo ni Benki binafsi kwenye rekodi zao kungekuwa na mikopo chechefu?, kusingekuwa, wetu sisi wa Serikali wanashindwa nini mpaka kunakuwa na mikopo chechefu?, kuna ushirikiano baina ya Maafisa wa Benki na hao wanaoenda kukopa, andika nitakupitishia ukipata chako hiki changu hiki, hailipiki tunasema mikopo chechefu”
“Kuna Mtu, Mfanyabiashara kakopa Benki zetu sita sijui tano Mabilioni kila Benki, kachukua fedha yetu kaitoa nje na yeye kaondoka, leo tunasema mikopo chechefu mlipompa huyu!, dhamana zote alizoweka ni feki, zote feki, kama sio ushirikiano kitu gani?
Lakini Watu wanazunguka tunawatazama, wapo na wanajua walichokifanya, hii mikopo chechefu itachechemea mpaka tujirekebishe na inapochechemea na Nchi inachechemea”
WANAJAMVI HEBU TUJUZANE HUYU ANAYETAJWA HAPA NI NANI?
Aisee..Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo wakati akipokea Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Ikulu Jijini Dar es salaam amehoji kuhusu mikopo chechefu na kusema kuna baadhi ya Maafisa wa Benki wanashirikiana na Wateja kupitisha mikopo kinyume na inavyotakiwa kisheria.
“Kuhusu mikopo chechefu na yenyewe unajiuliza why mikopo chechefu?, hivi ingekuwa Benki zinazotoa mikopo ni Benki binafsi kwenye rekodi zao kungekuwa na mikopo chechefu?, kusingekuwa, wetu sisi wa Serikali wanashindwa nini mpaka kunakuwa na mikopo chechefu?, kuna ushirikiano baina ya Maafisa wa Benki na hao wanaoenda kukopa, andika nitakupitishia ukipata chako hiki changu hiki, hailipiki tunasema mikopo chechefu”
“Kuna Mtu, Mfanyabiashara kakopa Benki zetu sita sijui tano Mabilioni kila Benki, kachukua fedha yetu kaitoa nje na yeye kaondoka, leo tunasema mikopo chechefu mlipompa huyu!, dhamana zote alizoweka ni feki, zote feki, kama sio ushirikiano kitu gani?
Lakini Watu wanazunguka tunawatazama, wapo na wanajua walichokifanya, hii mikopo chechefu itachechemea mpaka tujirekebishe na inapochechemea na Nchi inachechemea”
WANAJAMVI HEBU TUJUZANE HUYU ANAYETAJWA HAPA NI NANI?
Yeye alitegemea hii nchi utaiendesha kwa huruma huruma za kike utaweza? Eti sitamtumbua mtu, watu wanatambaa na chaki tu. Advertise mama alianza kuwatoa wezi jela na kuwalipa hela 😀😀😀!Kuna msemo unasema Acholile Kachora wakwere nadhani, yaan hio sadakarawe watu washacheza aliepata kapata wanajua wakishaiba mama mwenye nyumba atakuja kubwabwaja wee wanamwangalia tu akimaliza yanaingia huku yanatokea huku watu wanacheck angle zingine za kuiba walioiba hawafanywi chochote na wanajua hakuna wa kuwafanya chochote na kuiba wameiba unategemea nini? Utakuja kuimba taarabu tu pumbavu stupid basi watu kesho wanaiba tena tena mbaya wanaiba mbele ya macho yako hivi unaowaona na mkono wa pongezi hongera kwa kuiba unawapa kumbe wameiba
Na bank zote za Serikali hizo 😀😀😀Benki ya 1 6B
Benki ya 2 12B
Benki ya 3 13B
Benki ya 4 7B
Benki ya 5 8B
Benki ya 6 4B 😂😂😂😂😂
Hahahahahah sasa 66B unafikiri utakaa uwe maskini saa ngapi? Thats was almost 30M dollars! Ikienda kwenye stocks and bond Marekani wewe ni kuvuna mihela tu.We kufadhili wapi pesa zinasombwa ulaya watu wana invest kwenye ma bonds, real estate, bitcoin na asset zingine kipindi cha Kikwete kuna waziri siwezi mtaja alisepa na 66B ana 5 star hotel 3 nchini Canada hivi vitu mkuuu havinaga muongozo asee
Watu wanajali vizazi vyao tu hapa
Acha porojo ww ni mtu mzima aisee mbona mnakuwaga kama mazombe kama unachuki zako binafsi na mwendazaek nenda kalichape kaburiHatua zipi bro kutisha au kufoka, kiini macho cha trioni moja na nusu kiliishia wapi, tatizo la Tanzania ni la kimfumo na muundo wa utawala na maamuzi, yaani top down decision making process. Watanzania wanacheza na biti ikija raggae au lukasa ya mbongo twende yaani ukiwa mkali utapigwa, ukiwa mpole utapigwa tu
Hahahah haah yani hapo hakuna wa kumkamata mwenzie maana kwenye hio migao bi mkubwa taarifa anazo. Tukisema hii ni awamu ya 4B muelewe.Tatizo Sasa hivi Ni kwamba, atatumwa Nani akamkamate Nani?
Waziri wanajua alivyoiba
Karibu mkuu mwizi
Makamishna wezi
Wakurugenzi wezi
Takukuru imekua rukukuta
Polisi imekua polisi jazz bend
iPhone inanunulika kiulaiiini.
Walikuwa huko na huko wanazurura na zuhura yunus kuomba pesa wakati zikija zinarudishwa tena huko kwa njia ya wiziYeye na mawaziri wake walikuwa wapi mpaka hayo yanatokea .
Ndugu ukisikia mwanasheria mkuu anasema kuna sheria hazitekelezeki hilo sio jambo dogo. Mamlaka uisemayo aliyonayo rais usifikiri ndio jibu la matatizo haya. Jibu ni moja tu; kila mhimili (serikali, bunge na mahakama) uachwe ufanye kazi yake kwa uhuru wake haya yatapungua mno, ila kuacha sijui rais afukuze yule afanye hivi mwisho hata wanaofukuzwa mwishowe wanashinda kesi (kumbuka serikali iliyopita ilifukuza sana kwa matamko na wengi waliendelea kulipwa stahiki zao vilevile ila nje ya vyeo walivyotumbuliwa jambo ambalo lilikuwa la kisheria ila hasara kwa nchi)Hotuba yake yote analalamika tu mm nahisi haelewi nguvu ya kimamlaka aliyokuwa nayo, 2025 atupishe kwakweli maana hatufai kwanza katurundikia mitozo Kila mahali, bei ya nafaka inazidi kupaa, maisha ya wananchi yanazidi kuwa magumu mbaya zaid watu wanatafuna pesa zetu sasa ya nn kuendelea kuwepo madarakani?
Hio Trillion moja mnayoona nyingi zile alizopiga Lameki kwenye miradi badala ya trillion 4 akalipa 6, jumlisha na mabillion wanayopiga Makamba na wenzake haya hizo za CAG alizosema TRC wamepiga 500B na za Manunuzi ya Cargo Airline 115B hebu acheni mambo ya kikuma aisee.Hatua zipi bro kutisha au kufoka, kiini macho cha trioni moja na nusu kiliishia wapi, tatizo la Tanzania ni la kimfumo na muundo wa utawala na maamuzi, yaani top down decision making process. Watanzania wanacheza na biti ikija raggae au lukasa ya mbongo twende yaani ukiwa mkali utapigwa, ukiwa mpole utapigwa tu
Sio chuki Rais aliepita alifoka tu hata ukitukana huwezi kubadilisha ukwel, zombie ni wewe ambae unamuhusudu mtu kuliko hata taifa lenyewe, ATCl ilipotoa gawio wote si tuliona mwisho wa siku CAG akaripoti hasara, 1.5 tri ziliposhindwa kuonekana mwisho wa siku akatumbuliwa prof Assad kuhoji kwannn Bunge limekuwa bubu, acha utoto unapojibu watu wazima.Acha porojo ww ni mtu mzima aisee mbona mnakuwaga kama mazombe kama unachuki zako binafsi na mwendazaek nenda kalichape kaburi
Tajiri hafungwi Tanzania. Maskini tu ndio watajazana jela.Ndugu ukisikia mwanasheria mkuu anasema kuna sheria hazitekelezeki hilo sio jambo dogo. Mamlaka uisemayo aliyonayo rais usifikiri ndio jibu la matatizo haya. Jibu ni moja tu; kila mhimili (serikali, bunge na mahakama) uachwe ufanye kazi yake kwa uhuru wake haya yatapungua mno, ila kuacha sijui rais afukuze yule afanye hivi mwisho hata wanaofukuzwa mwishowe wanashinda kesi (kumbuka serikali iliyopita ilifukuza sana kwa matamko na wengi waliendelea kulipwa stahiki zao vilevile ila nje ya vyeo walivyotumbuliwa jambo ambalo lilikuwa la kisheria ila hasara kwa nchi)
Ewe lijinga na wajinga. Tena na hao wajinga wenzako nimeona kuna ma group kabisa ya wasomi eti wanasema eti mara Dkt Magufuli etc. Tulieni tuwaambie iko hivi. Prof. Asad alitumika na mabeberu na kundi la watu wabaya wale mafisadi ili kujaribu kutafuta makosa. Hiyo 1.5 trillion ilikuwa na maelekezo na yalitolewa na yeye akakomaa yaani ni sawa na budget ya CIA uende ukajifanye mara ohhh waliomtumbua ni hao hao walinzi wa taifa na ndiyo maana he will never amount to anything kwa hii nchi kwa sababu prof Asad ni mtu aliyeelimika ila hana common sense, na binaadamu ukikosa common sense hata uwe prof utaendelea kuwa mjinga.Mzee baba mwenyewe ripoti kama hizi aliziogopa sana tu rejea kutenguliwa kwa prof Assad, watanzania tunatabia za kinafiki sana si ajap kuona tunamtukuza rais kuliko taifa lenyewe. Rais sio Mungu wala Malaika Kuna muda na wakati anaitaji msaada kisayansi, kimedani na ujuzi kuweza kukabiliana na uvujaji wa mapato ya nchi.