Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Cha ajabu kashindwa kumtaja hata jina mtu aliyekimbia nchi
Mwenzake alikuwa anawataja na ukitoka hapo nchi unaachia, mfano mdogo ni ile ya Lugola.
Huyu ni muoga sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha ajabu kashindwa kumtaja hata jina mtu aliyekimbia nchi
Huyo wa kumripoti ndio hajazaliwa.Jumla Tsh 50B..
Si wamripoti Interpol atafutwe upesi arejeshwe?!
Tatizo ni kwamba ngozi nyeupe inathaminiwa sana. Akienda Kabachori na project yake ya uongo na ukweli anapewa hela nenda wewe Ambokile hupati kituTanzania ni nchi rahisi sana kuipiga hela ukiwa smart kichwani yaani hutumii nguvu sana.. Huyo mfanyabiashara ametisha..
Sasa kama dhamana zote ni feki huoni kama hata jina na taarifa zake nyingine binafsi alizotumia zinaweza kuwa feki pia?Jumla Tsh 50B..
Si wamripoti Interpol atafutwe upesi arejeshwe?!
Huko kenya ndio kuna wezi afadhali ya kwetu,siku nchi za kiafrica zikianza kuwanyonga hadharani wezi wa vitu vya umma kama china na iran ndio maendeleo yatapatikanaIngekuwa ni nchi nyingine si watu wangekuwa barabarani kama huko kenyad
Mbagala kubwa , unazungumzia wa kule barabara ya Chemichemi?Nadhani ni aliyekuwa Diwani wa Mbagala na nyumba yake ya kimagumashi pale Sea View
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nchi hii tajiri anafanya anavyotaka
Wengine cheque ya mil 5 ndani ya benk kila mtu mpaka atie sign mpaka mfagiaji umpitishie nae aione
Hivi mpaka hapo yule Mwigulu anatosha??Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo wakati akipokea Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Ikulu Jijini Dar es salaam amehoji kuhusu mikopo chechefu na kusema kuna baadhi ya Maafisa wa Benki wanashirikiana na Wateja kupitisha mikopo kinyume na inavyotakiwa kisheria.
“Kuhusu mikopo chechefu na yenyewe unajiuliza why mikopo chechefu?, hivi ingekuwa Benki zinazotoa mikopo ni Benki binafsi kwenye rekodi zao kungekuwa na mikopo chechefu?, kusingekuwa, wetu sisi wa Serikali wanashindwa nini mpaka kunakuwa na mikopo chechefu?, kuna ushirikiano baina ya Maafisa wa Benki na hao wanaoenda kukopa, andika nitakupitishia ukipata chako hiki changu hiki, hailipiki tunasema mikopo chechefu”
“Kuna Mtu, Mfanyabiashara kakopa Benki zetu sita sijui tano Mabilioni kila Benki, kachukua fedha yetu kaitoa nje na yeye kaondoka, leo tunasema mikopo chechefu mlipompa huyu!, dhamana zote alizoweka ni feki, zote feki, kama sio ushirikiano kitu gani?
Lakini Watu wanazunguka tunawatazama, wapo na wanajua walichokifanya, hii mikopo chechefu itachechemea mpaka tujirekebishe na inapochechemea na Nchi inachechemea”
WANAJAMVI HEBU TUJUZANE HUYU ANAYETAJWA HAPA NI NANI?
Magu kwenye madhimisho ya mahakama (ilikuwa miaka 100 ya mahakama),aliongea mbele ya jaji mkuu kwamba wazipush kesi za mafisadi ambazo kwa kinywa chake alisema kama kesi zingeendeshwa serikali ilikuwa na uwezo wa kuingiza 300+tn.Baadae mawakakili,l,wanaharakati wakiongozwa na wale madada waaojiita mashangazi,wanasiasa na baadhi ya NGO,wakadai rais dikteta anaingili uhuru wa mahakama.Kuna Raos amewahi chukua hatua dhidi ya mafisafi na wabafhirifu wa mali za umaa? Nakumbuka mmoja yeye alijua anadeal na wapinzani tu, hiyo nguvu angeiyumia kuwawajibisha hawa wezi tungeona nafuu
Acha kutupanga Mkuu!.........rais Samia kwa sasa anafahanu mengi kuhusu uongozi wa nchi serikali na watendaji Kwa ujumla lakini yeye ni mtu mwenye subira na mvumilivu sana..... ndo maana watu wanaona kama mambo yanaharibika au hachukui hatua, hii sio kweli huyu mama ni menda haki.......na niseme tu zinakuja siku ambazo mama atachukua hatua kali sana Kwa baadhi ya watendaji na watu hawataamini........ni swala la muda tu......
Kuwa kuna inside job kuwa kopa tugawane halafu kimbia as if interpol hawapoSerikali ya kisanii imerudi teena.
Atagombea 2025????[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hiyo si kweli mama amesinzia mno. Mwamba alikuwa halali si kwa kutaka sifa bali ku detect huu upuuzi wa majizi. Sasa yeye anasubiri tuuuu kazi kucheza mdako.........rais Samia kwa sasa anafahanu mengi kuhusu uongozi wa nchi serikali na watendaji Kwa ujumla lakini yeye ni mtu mwenye subira na mvumilivu sana..... ndo maana watu wanaona kama mambo yanaharibika au hachukui hatua, hii sio kweli huyu mama ni menda haki.......na niseme tu zinakuja siku ambazo mama atachukua hatua kali sana Kwa baadhi ya watendaji na watu hawataamini........ni swala la muda tu......