Rais Samia kupokea ripoti ya miezi mitatu (Januari-Machi) ya Benki Kuu kutoka kwa CAG

Itakuwa hii Katiba mbovu ndio inakupa ugali mjini.
 
Mkuu kwani ripoti ya CAG Kichere iliyojaa wizi na ubadhirifu wa kutisha ndani ya Taasisi mbali mbali za Serikali imefanyiwa kazi hadi hii leo!?
Mapendekezo ya hiyo ripoti ni vyema yafanyiwe kazi, isiwe kusomewa tu halafu yakawekwe kabatini, wakishamaliza hiyo kazi kinachofuata ni Katiba Mpya ya watanzania.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂tunachotaka ni katiba tu report zenyewe zinajaa madudu matupu.
 
Wale mnaojiandaa siku ya katiba day, mjiandae pia kupokea ripoti ya CAG ya miezi mitatu Jan-Mach 2021 ya BOT kwasababu Raisi ameshasema kuwa itawasilishwa kati ya Jumatano na Alhamis.

Mambo iko huku:



Hiyo ndiyo habari yenyewe.
 
Mama Samia amesema report ya ukaguzi maalumu itakabidhiwa Jumatano wiki hii

Je, report hii itasema nini?

Je, italeta msukosuko wa zile tetesi za kubadilika kwa Baraza la Mawaziri?

Je, kuna watu watatakiwa kujiuzulu?

Tunataka uwazi juu ya hii report.
 
Hapa sasa ndio wanaume kuvutwa makende na koleo. Kwa jinsi Mama asivyotaka dhuluma, nawaonea huruma sana kina ....
 
Je, huyo maza ni msafi? Anaweza kutishwa kuhusu uchafu ndani ya hiyo ripoti na wahusika kama ripoti hiyo ni mbaya kwao AKATISHIKA!? Je, Dotto James yumo, Mpango yumo? Kassim Majaliwa yumo na yule Bashiru yumo? Walichota bilioni ngapi? Walinunua nini au kuzipeleka wapi!? Tutege masikio yetu hiyo Katiba Day.
 
Mama bado anaendeleza libeneke la kuupiga mwingi...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…