Rais Samia mbona hakubali tatizo nini?

Mzee wako hana hela.Anataka atafute visingizio ili msimsumbue hapo nyumbani kwenu.
Sasa nisumbuane nae vipi ikiwa mzee kastaafu mwaka juzi anakula pension yake

Familia yote Wana miji yao, mimi ndo nipo mji mmoja na mzee na kila wikiendi ndo narudi kumcheki

Fanya kufatilia michango yangu humu utagundua mimi simtegemei mzee
 
Sasa nisumbuane nae vipi ikiwa mzee kastaafu mwaka juzi anakula pension yake

Familia yote Wana miji yao, mimi ndo nipo mji mmoja na mzee na kila wikiendi ndo narudi kumcheki

Fanya kufatilia michango yangu humu utagundua mimi simtegemei mzee
Basi ni mnoko wa kuzaliwa tu.Full unoko!
 
Kwa wafanyakazi nakukatalia. Labda wazee na machinga na kwa machinga naona ameshaanza kuwapara na tujimilioni kumi sasa hivi wataanza mpigia vigelegele.
Zaidi ya machinga 1,000 wa Dodoma wanapewa mabanda ya kisasa bure yenye huduma zote yaani pamejengwa kama mall moja matata,eti hao wanamchukia Samia πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Dar kwenye soko la Karoakoo na Ilala lililoungua ,zinajengwa structure matata za machinga na watapewa bure pale Kariakoo @ eti hao wanamchukia mama 😜😜
 
Binafsi nilichokiona watu bado wanaamini katika RAIS MWANAUME. Ila kwenye kufanya kazi vizuri MAMA SAMIA yuko Far better than MAGUFULI. NAMKUBALI KINOMA NOMA JPM ila mama Samia anatumia Busara, Hekima, nidhamu na Utu katika kuongoza. Kama huyu mama angekuwa Rais mara baada ya KIKWETE amini nakwambia hii nchi ingekuwa mbali mno, kwanye Sekta nyingi sana, Ajira, Biashara, Uvuvi, Kilimo nk.

Thank You Hon. Pres. Samia.

Watu wamezoea vitisho.
 
Ndio wanavyopata cheo siku hizi. Majam azi sugu wanakwenda kwa Rais wanamwambia watamlinda. Ambayo ni kosa. Rais ni Amirat,kwa hiyo analindwa na wanajeshi.
Lakini hawa majambazi wanamwahidi Rais ulinzi,wanamwambia usiwajali hao wapinzani wenye mdomo mrefu.
 

Utafiti wa kuwa mama hakubaliki umeufanya wapi...kwa taarifa yako mama hata kama hafanyi chochote, ile kuondoa tu upuuzi wa jiwe kwake ni credit... atahaeshimika sana, kwanza yeye anachotakiwa kufanya kwa sasa ni kufuta ule ujinga ujinga wote.. nasisitiza ujinga, aendeleze mazuri yote, maana pia Jiwe nae alikuwa pia na mazuri aliyofanya siwezi kataa.
 
Hapo kwa kweli hapana. πŸ˜€
 
Leta sector ya Bihashara, inflation rate, Tsh angaist Dollar etc, Leta wizara ya Ulinzi, sector ya Madini
Ndio maana nakwambia huna akili unajidanganya Sana,subiria uchaguzi uone..

Biashara ipi unayoisemea wakati maelfu ya biashara zinafunguliwa? Umesikia biashara zinafungwa msimu huu kama Jiwe?

Kule posta huoni Majumba ya kupangisha yamekuwa occupied?

Shilingi ya Tanzania ndio iko imara dhidi ya dola,Ya Kenya na ya Uganda zimeporomoka..mfano mdogo TSH.ina trade kwenye 19 vs Ksh kutoka 20.1..

Kwenye biashara ndio usiguse,tutajaza Seva bure..Afu usihangaike Sana kama hujui kutafuta habari wewe zunguka tuu mitaani ukiona ujenzi utapata jibu kwamba kumbe Uchumi umefunguka kweli.πŸ‘‡



















 
Incapability imejidhiirisha kwa bi tozo kuliko kiongozi yeyote yule ndani ya system ya CCM.

Mbaya zaidi inaonekana hii ni reincarnation ya awamu ya Msoga ila ikiwa mwiba zaidi kwa raia sababu ya tozo za ajabu na inflation huku ufisadi ukifumbiwa macho.
 
Actually.watu wanapiga poyoyo tu mtu lakini inside wanamkubali Maza kichizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…