Rais Samia mbona hakubali tatizo nini?

Kwahiyo hata wauza unga nao walikuwa wanafanyiwa dhulma? Hata waharifu kama panya road nao walikuwa wanafanyiwa dhulma?
 
Kwahiyo Wee Hukusikia Kuwa Chongolo Kasema Wakuu Wa Mikoa, Wilaya Hawamsifii Mama Kama Wakati Ule Anatawala Yule Baba
Amewaonya Uchunguzi Utafanyika Dhidi Yao Haraka Sana

Maana Yake Nini?
Iwapo Unataka Cheo Chako Anza Kusifia Mapema Sana Na Hii Ndiyo Ccm Janjajanja Kila Eneo, Huo Ukweli Unaouona Wewe Unangoja 2025 Kuchafuke Ndani Ya Chama!!!
 
Muuza mbogamboga,machinga,dereva bodaboda n.k anayeguswa na kulalamikia makato makubwa kwenye miamala ya fedha unafikiri ukimuwekea hizo taarifa zako atakuelewa? Au hao hawana mpango ni wajinga tu wao wasubiri uchaguzi wapewe kanga na tisheti wakapige kura ila maisha yako vilevile?
 
Mkuu mama alikuwa anaweza kufanya mazuri kuzidi Magu au kusahihisha makosa yote ya Magu bila kurudisha matatizo yaliyokuwepo awamu ya JK.

Awamu ya JK ilifika hatua hadi JK akawa anaitwa rais dhaifu kiasi cha baadhi ya watu wakawa wanasema wanahitaji rais dikteta, sasa Samia anarudisha huko ndio maana unaona si tu wauza ngada bali hadi panya road et nao wamerejea kwa kishindo.

Alikuwa anao uwezo wa kufanya mazuri na kuendelea kudhibiti yaliyokuwa yamedhibitiwa labda atuambie hata panya road nao walikuwa wanafanyiwa dhulma na Jiwe.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†..

Kwa hiyo yangekuwa makubwa miamala ingeongezeka? πŸ‘‡



 
Sababu ni hizi hapa

1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
Ila pia wapo wanaomuunga mkono Samia kwa sababu ya uislamu wake na wapo wanaomuunga mkono kwa jinsia yake japo wengine wanabadili gear angani.
 
Mama arudi jikoni akapike urojo
 
Wakati gani umeshuhudia wakimwaga sifa wote hapa penyewe?Wawaachiye wanaoweza kukosoa.
 
Tuanzie wapi kukusaidia ?
 
staff ya wapi hiyo? Ni bora huyu mama mara mia japo anapuyanga kuliko Jiwe.

Uhuru tu wa kufanya mambo yangu bila hofu ya kutekwa inatosha, mama dhibiti vibaka tu na hawa panya road kura tutakupa
Utekaji upo kama kawa, sema hujaingia kwenye 18 za watekaji wake.
 
Hivi kwanini watu wanapoongea ukweli kuhusu kutokubalika SSH wananuna wakati huo ndio ukweli.
Wapo wenye kufaidika na aina ya uongozi wa Sasha, mambo yake ndio yanaenda sasa mtu huyo ukimwambia Sasha hasomeki huko kitaa anakuona una roho mbaya ndio maana unaona kauli et una wivu, sasa mtu kama mie ni nani hadi nimuonee wivu rais wa nchi?
 
Mapunguani sukuma gang mmeshafeli.
Mama ni kipenzi cha watanzania zaidi ya 70% except sukumas
Wewe unadhani kwamba Samia atakuwa bora kwa kufanya yaliyo kinyume na Magufuli huku ukidhani kwamba waliyokuwa hawamuelewi Magufuli basi lazima wamuelewe Samia.
 
Mama anapendwa sana na tutamuongezea muda hadi 2035
 
Mkuu binafsi sijawahi kuishi kwa hofu kwa kuogopa kutekwa katika maisha yangu sijui wengine, labda sasa tu nakuwa makini na panya road.
 
Sahau hizo ndoto.

Mama anapigiwa kuwa toka kaskazi, kusini, kati, kusini magharibi, bukoba na mara ispokuwa sukuma gangs tu.
Na kwa kuwa sukuma hawajui siasa hawana hata chama, cheyo hana meno.
Labda Msukuma aanzishe chama ila hawatapata wanachama mikoa mingine kwani kwa tabia za kikabila walizonazo wasukuma na joto lajiwe walilolionja no finito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…