Sio kweli, Quran haijakopi chochote kutoka kwenye biblia.
Ila biblia ndo imekopi kutoka kwenye Injil
Surah Ya-Sin (36:69):Quran ni mashairi ,ni kweli inaweza kuimbwa pasipo na vyombo vya muziki....
Wewe unamjua ?Unamjua Issa(a.s)?
Tuanzie kwanza hapo
Shujaa Magufuli aliingia ndani ya msikiti mkuu wa BAKWATA Kinondoni na kuukaguaHayati JPM katika ubinadamu wake alihudhuria mojawapo ya hizi shughuli za waislam.
Aliposalimiana na JK nakumbuka Mkwere alimtazama kwa jicho fulani la kumuona kama vile kapotea njia, lakini walikuwa marafiki wa muda mrefu.
Isa (A.S.) alizaliwa kwa muujiza kupitia mama yake, Mariamu (Mariam), bila baba. Qur'an inasimulia jinsi Malaika Jibril (Gabriel) alivyompa Mariamu bishara ya mtoto huyu, na alipouliza atampataje mtoto bila kuolewa, Allah alimjibu:Wewe unamjua ?
(Qur’an, Maryam 19:21)"Alisema: Hivyo ndivyo atakavyosema Mola wako: Hili ni jambo jepesi kwangu..."
Ni kweli si mashairi "in traditional sense" ila yana RHYTHM na RTHYM....Surah Ya-Sin (36:69):
"Na hatukumfundisha (Mtume) mashairi, wala hayawezi kuwa kwake. Hii ni isipokuwa mawaidha na Qur'an yenye kubainish
Soma aya hizi kwanzaRhythm na Rhymes ni nini
Sawa mkuuBiblia si yako unaongelea nini ?!?
asante sanaIsa (A.S.) alizaliwa kwa muujiza kupitia mama yake, Mariamu (Mariam), bila baba. Qur'an inasimulia jinsi Malaika Jibril (Gabriel) alivyompa Mariamu bishara ya mtoto huyu, na alipouliza atampataje mtoto bila kuolewa, Allah alimjibu:
(Qur’an, Maryam 19:21)
Eti muhammad alikuwa ni mnasara kabla ya kupewa utume? FaizaFoxy Bwana UtamUmeumia? Mpaka wazungu wanashiriki. Biblia ngumu sana kuhifadhika ndani ya moyo kwa sababu imechakachuliwa na wanaadam
Hakuna aya inayosema mkristo asiingie msikitini.....Shujaa Magufuli aliingia ndani ya msikiti mkuu wa BAKWATA Kinondoni na kuukagua
HakikaSurah Ya-Sin (36:69):
"Na hatukumfundisha (Mtume) mashairi, wala hayawezi kuwa kwake. Hii ni isipokuwa mawaidha na Qur'an yenye kubainish
Issa ni huyo anayeitwa yesuWewe unamjua ?
Alibatizwa kanisa gani ?!!Eti muhammad alikuwa ni mnaswara kabla ya kupewa utume? FaizaFoxy Bwana Utam
Akhi narudia tena....Quran si mashairi ya kitamaduni (traditional) bali yana POETIC QUALITIES....RHYTHM and RHYMES na ndio tunaambiwa tusome kwa "khushui na tartiil "....Soma aya hizi kwanza
36:69
69:40-41
52:30-31
Ila usiite mashairiAkhi narudia tena....Quran si mashairi ya kitamaduni (traditional) bali yana POETIC QUALITIES....RHYTHM and RHYMES na ndio tunaambiwa tusome kwa "khushui na tartiil "....
ok, naona wanafanana na wa biblia hakuwezi kuwa na watu wawili lazima kuna mmoja ni wa uongo hapoIssa ni huyo anayeitwa yesu
Yeahok, naona wanafanana na wa biblia hakuwezi kuwa na watu wawili lazima kuna mmoja ni wa uongo hapo
Hata mimi nimewahi kuingia ila Shujaa aliukagua hiyo Ndio tofauti 🐼Hakuna aya inayosema mkristo asiingie msikitini.....
Rais wa nchi ni MFARIJI mkuu.... msikitini nako ni pake.....
Ukipita mashairi tutakuwa tunasema hayajatoka kwa Allah kupitia Jibril alayhi salaam?Ila usiite mashairi
Kuna watu wana andaa shindano la REDE (READY)Andaeni atakuja MFARIJI wetu mkuu....