Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Hakika unajua kufanya looping balaa 🤣🤣Mama kama mama, Ironlady na Rais Samia Suluhu Hassan 💥♥️😍
Waambie waache kusututana mama..... wafanye kazi za wananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika unajua kufanya looping balaa 🤣🤣Mama kama mama, Ironlady na Rais Samia Suluhu Hassan 💥♥️😍
Waambie waache kusututana mama..... wafanye kazi za wananchi
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatilia mijadala ya Bunge na kuongeza kuwa kuna mijadala isiyo ya afya kwa Taifa
Amesema: "Kipindi hiki ndugu zangu wabunge tunatakiwa kupitisha Bajeti za Sekta mbalimbali za Serikali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Naomba jikiteni sana huko, mengine tutayazungumza siku zinavyokwenda. Tufanye kazi kama Bunge linavyotakiwa kufanya kazi"
Alivyo wa ajabu alitaka ainuke kushangilia kama wenzakeJIWE LA GIZAN LIMEENDA KWA NDUGAI
Mama Samia ananichanganya, kama anaweza kuwaacha covi-19 wanapepea bungeni wakati akijua wazi kuwa ni batili, then leo anasema bunge halifanyi kazi yake, ninakuwa na mashaka na dhamira yake! Mtu-busara angelimwamrish Ndugai awaondoe hao kwanza maana hao hoja yao ni ya wazi/ubatili wao niwa wazi hauna mashaka. Hawa wengine walioingia kwa nguvu ya TISS/Polisi?JKT/Mahela/Kaijage can wait another wayout!Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Tundu Lisu na Hussein Bashe ni mfano wa wabunge mahiri ambao hawakuendekeza mizaha mipasho au utani wa kijinga wawapo ndani ya ukumbi wa bunge.
Ramadhan Kareem!
Wewe unajuaje kuwa akina Halima Mdee ni batili?Mama Samia ananichanganya, kama anaweza kuwaacha covi-19 wanapepea bungeni wakati akijua wazi kuwa ni batili, then leo anasema bunge halifanyi kazi yake, ninakuwa na mashaka na dhamira yake! Mtu-busara angelimwamrish Ndugai awaondoe hao kwanza maana hao hoja yao ni ya wazi/ubatili wao niwa wazi hauna mashaka. Hawa wengine walioingia kwa nguvu ya TISS/Polisi?JKT/Mahela/Kaijage can wait another wayout!
Hakika unajua kufanya looping balaa 🤣🤣
Kwani nimeandika kua naumia ndugu 🤣Msimamo wangu ni kwa serikali kuanzia Rais na wasaidizi wake wote
Kwani unaumia!!!?2?
Tamko la Katibu mkuu CDM, evidence of record, una hoja nyingine?Wewe unajuaje kuwa akina Halima Mdee ni batili?
Wewe unajua Halima Mdee na J J Mnyika waliingiaje Chadema?Tamko la Katibu mkuu CDM, evidence of record, una hoja nyingine?
Out of topic! nasema evidence on record, hayo hayana nafasi kwa hoja iliyoko mezaniWewe unajua Halima Mdee na J J Mnyika waliingiaje Chadema?
Hivi ndivyo wanaccm mlivyoMkuu ni kwasababu wafuasi wa mbowe ni wa empty vichwani.
Alafu sijaona ni wapi Ndugai amefeli.
Shida ni kuruhusu wale wabunge wajibu upumbavu wa wajinga wa mitandaoni hilo tu ndio mnaona kafeli