beberu la mtaa
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 276
- 467
Bunge letu ni dhaifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kushindwa kwenyewe hukoMkuu ni kwasababu wafuasi wa mbowe ni wa empty vichwani.
Alafu sijaona ni wapi Ndugai amefeli.
Shida ni kuruhusu wale wabunge wajibu upumbavu wa wajinga wa mitandaoni hilo tu ndio mnaona kafeli
Waliopo Mitandaoni Wana uwezo mkubwa kuliko Wabunge na ndio Maana Wameweza kupiga Ngoma Wabunge wanacheza.Mkuu ni kwasababu wafuasi wa mbowe ni wa empty vichwani.
Alafu sijaona ni wapi Ndugai amefeli.
Shida ni kuruhusu wale wabunge wajibu upumbavu wa wajinga wa mitandaoni hilo tu ndio mnaona kafeli
Mbowe 3-0 NdugaiMbowe vs Ndugai
Anayetakiwa kudhibiti hao wabunge ni Spika lakn kwa vile ni wa CCM ni vema amwambie mwenyekiti wao aondoe hayo makundi.Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Spika Ndugai anaweza kwenda kuchota uzoefu kwa Freeman Mbowe mwenyekiti wa Chadema namna ya kuwaongoza watu na kuwamudu.
Nimeshangaa Spika Ndugai kuzidiwa nguvu na makundi mawili ya wabunge na kuamua kurudisha mpira kwenye chama.
Wabunge wanatakiwa kudhibitiwa na Spika kwa matendo wanayotenda ndani ya bunge na siyo kukata rufaa kwa Rweikiza ambaye ni Katibu wa wabunge wa CCM. Labda kama Spika Ndugai ana kundi lake kati ya hayo mawili la Mahyenga na lile la Nape.
Ramadhan Kareem!
Ulinganifu wenye ubabaifuMbowe 3-0 Ndugai
Kazi wanayo walioambiwa wanademka halafu wakawa wanashangilia kwa mbwembwe,utadhani kaambiwa mtu mwingine sio wao.Bavicha mna kazi sana!
Sasa hivi mko na cd nyingine ya spika
Siku hizi sikuelewi kama bado tupo pamoja lumumba ama umeelekea ufipaAssad anacheeeeka!
Bunge fake, spika fake. Kwanini wasijadili vitu fake? Lile siyo bunge ni mkusanyiko wa wizi wa fedha za umma. Hivi tunawalipa wale Covid-19 kama akina nani?Mama anajidanganya tu,huwezi kuwa na bunge fake ambalo wabunge wake wametokana na kura fake halafu usitegemee mijadala fake.Ni vyema Mama aache kujidanganya mwenyewe.
Mlipoambiwa dhaifu,mliapa kutoshirikiana na CAG,mmeambiwa mnacheza ngoma za mitandaoni mmeufyata, nasubiri kauli ya Sabufa aseme hatashirikiana na mama kwasababu kalidhalilisha bunge,la sivyo amtake radhi Assad.