Rais Samia: Mikoa ya Kusini watu wanatokwa damu puani na kudondoka. Hatujui ni ugonjwa gani, uchunguzi unaendelea

Nadhani alitakiwa kusubiri kwanza ili awe na taarifa sahihi, tetesi tetesi hizi angetuachia kwanza sisi key board warriors
 
Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania mh SAMIA SULUHU HASSANI athibitisha kuwepo kwa ugonjwa usiojulikana watu kutokwa damu puani pamoja namafua kisha kupoteza maisha yao hayo ysmesemwa jana katika mkutano wa baraza la maaskofu jijini daresalaamu jana tarehe 12.07.2022.

 
Ngoja wataalam waje waseme ni nini maana na mimi nina flue hapa
 
Kusini gani hiyo?Mbona huku hatuwaoni hao wanaotokwa na hizo damu?
 
Hivi ni kwanini chuku hizo>
 
Wanawake ni ngumu sana kutunza siri..pm kazunguka huko kusini mpaka kamaliza ziara karudi dsm ndio ka mwambia..yeye kesho yake kaanika hadharani...ingawa pm naye muongo muongo sana.

#MaendeleoHayanaChama
Huyo piii em sio muongo muongo,ni jiongo kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…