Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Heshima yako mh Rais, pole na majukumu ya kitaifa,
Samahani kwa kukuambia haya.
Siasa sio vita, rais Samia ingekusaidia sana ukimpongeza lisu kwa kushinda.
Kama uliweza kuenda kumwona ubeligiji wakati amepigwa risasi ingawa jpm alipiga top,wewe ulienda ulionesha ubinadamu mkubwa sana.
Unashindwaje kumpongeza Lisu, ukifanya hivyo itakusaidia sana kujijenga kisiasa , katika uchaguzi wa mwaka huu October 2025.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.