Rais Samia mpongeze Lissu kwa ushindi, itakusaidia kisiasa

Heshima yako mh Rais, pole na majukumu ya kitaifa,

Samahani kwa kukuambia haya.
Siasa sio vita, rais Samia ingekusaidia sana ukimpongeza lisu kwa kushinda.

Kama uliweza kuenda kumwona ubeligiji wakati amepigwa risasi ingawa jpm alipiga top,wewe ulienda ulionesha ubinadamu mkubwa sana.

Unashindwaje kumpongeza Lisu, ukifanya hivyo itakusaidia sana kujijenga kisiasa , katika uchaguzi wa mwaka huu October 2025.

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Bado haja absorb shock,mpe muda kidogo,akifikiria na mzigo aliochukua Ibenge ndiyo haurudi lazima avurugwe.
 
Heshima yako mh Rais, pole na majukumu ya kitaifa,

Samahani kwa kukuambia haya.
Siasa sio vita, rais Samia ingekusaidia sana ukimpongeza lisu kwa kushinda.

Kama uliweza kuenda kumwona ubeligiji wakati amepigwa risasi ingawa jpm alipiga top,wewe ulienda ulionesha ubinadamu mkubwa sana.

Unashindwaje kumpongeza Lisu, ukifanya hivyo itakusaidia sana kujijenga kisiasa , katika uchaguzi wa mwaka huu October 2025.

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Sisi tunazipongeza Simba na Yanga tu, au wanamuziki na mabondia, hiyo ndo size yetu!
 
Muache mama ana majukumu mengi

akitulia atampongeza
 
Mbaya Sasa washampitishaa,sijuii itakuajee....Bora Twende na Lisu 2025 ambaye ni chaguo la Mungu.
 
Je vile vyama 14 rafiki wa CCM wanempongeza Mh. Lissu?
Mwenye jibu tafadhali
 
Back
Top Bottom