Rais Samia mpongeze Lissu kwa ushindi, itakusaidia kisiasa

Heshima yako mh Rais, pole na majukumu ya kitaifa,

Samahani kwa kukuambia haya.
Siasa sio vita, rais Samia ingekusaidia sana ukimpongeza lisu kwa kushinda.

Kama uliweza kuenda kumwona ubeligiji wakati amepigwa risasi ingawa jpm alipiga top,wewe ulienda ulionesha ubinadamu mkubwa sana.

Unashindwaje kumpongeza Lisu, ukifanya hivyo itakusaidia sana kujijenga kisiasa , katika uchaguzi wa mwaka huu October 2025.

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Nakubali.
 
MUda huu chango inamuuma kwa ushindi huo hizo guts za kupongeza atapata wapi
 
Uzuri wa rais SAMIA ana utu sana.
Tofauti na kiongozi fulani hivi aliyekuwa katili.
SAMIA mpaka 2030.
 
Nadhani ndiomaana mbogamboga walitoa fomu Moja ya mwenyekiti wakiamini mkeka wa jemedari lazima utiki
 
Heshima yako mh Rais, pole na majukumu ya kitaifa,

Samahani kwa kukuambia haya.
Siasa sio vita, rais Samia ingekusaidia sana ukimpongeza lisu kwa kushinda.

Kama uliweza kuenda kumwona ubeligiji wakati amepigwa risasi ingawa jpm alipiga top,wewe ulienda ulionesha ubinadamu mkubwa sana.

Unashindwaje kumpongeza Lisu, ukifanya hivyo itakusaidia sana kujijenga kisiasa , katika uchaguzi wa mwaka huu October 2025.

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Kwani Lisu alimpongeza Samia kushinda uenyekiti CCM?

Scratch my back ,I scratch yours
 
Anajua how controversial that is, hawezi na itazua mijadala
 
Uzuri wa rais SAMIA ana utu sana.
Tofauti na kiongozi fulani hivi aliyekuwa katili.
SAMIA mpaka 2030.
Kweli kabisa mkuu, huyu mama ana utu sana shida ni machawa wake, mama hawezi kuruhusu mauwaji
 
Nchi haikuzaliwa na mama,labda bibi Titi kwenye uasisi...huu urais alipata kwa hisani amshukuru Mungu kumtwaa jiwe.
Hayo yote tunamwachia Mungu mkuu
 
Heshima yako mh Rais, pole na majukumu ya kitaifa,

Samahani kwa kukuambia haya.
Siasa sio vita, rais Samia ingekusaidia sana ukimpongeza lisu kwa kushinda.

Kama uliweza kuenda kumwona ubeligiji wakati amepigwa risasi ingawa jpm alipiga top,wewe ulienda ulionesha ubinadamu mkubwa sana.

Unashindwaje kumpongeza Lisu, ukifanya hivyo itakusaidia sana kujijenga kisiasa , katika uchaguzi wa mwaka huu October 2025.

Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Iwapo hofu ya ndani ilipelekea hata fomu moja isitolewe,ila tu neno ndio,unafikiri ni rahisi kutenda jambo ambalo mwenye hofu atahisi lina mpaisha anayemhofia?
 
Ngoja tuone mkuu
 
Back
Top Bottom