Rais Samia mpongeze Lissu kwa ushindi, itakusaidia kisiasa

Kwanini Lissuasimpongeze Samia kwa kuburuza machawa?
 
Kheri aendelee kukaa kimya.. Kuna maumivu mengi zaidi kwenye kupongeza kuliko kukaa kimya
 
Sisi wala hatuhitaji pongezi zake, waendelee na mambo yao ya CCM na kutumbua kodi zetu na wasanii, nimesikia kuna birthday part tena sijui lini, wasanii kama kawaida watakuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…