Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Ndio raha ya kumiliki vyombo,na ndio Kazi ya vyombo kuwashughulikia waleta chokochokoBarabarani mbona nipo daily boss. Mumlete na Mangula akae mbele ili aikatae vizuri hiyo katiba mpya. Au nyinyi mtakuwa kwenye keyboard mkiwatazama vyombo vya dola vikiwatetea nyie mmbaki na katiba outdated?
[emoji38]Humu utaskia lazma tukiwashe na tarehe wanaandaa ikifika hio tarehe kimyaa[emoji28][emoji28][emoji28]
Hapa ndipo atakapokuja kupotezea lengo.
Njia yake ya rahisi kabisa ilikuwa ni kuendelea na danganya toto, huku siku zikienda...
Hii issue kwa jinsi alivyoanza nayo tayari inaonekana hataweza.Rais Samia amewataka wananchi wa Morogoro wasikubali chokochoko zinazoanzishwa na baadhi ya watu.
Amesema hao wanaotaka kuanzisha vurugu wameshaandaa na wanajua watakavyojitibia ikitokea wamepata madhara...
Upo sawa ki akili?MaCCM mnamuogopa sana Lissu
Mimi wa wapinzani wamenichosha wa nchi hii bana kikwete was fair wakawa Wana mshambulia daily matokeo yake tukaletewa magufuli aliyekuwa haambiliki wakanyooshwa mpaka daily ilikuwa jela Sasa mama kaanza vizuri msikivu wao Wana mshambulia bila aibu, mbona wakati wa Magu alikuwa ana vunja Hadi katiba wakaufyata, naona wanataka kumwaribia mama vile wanajua ni mama wanafikiri ni dhaifu, kiukweli Mimi staki wamu force mama atumie power yake kikatiba watalia machozi hawa. Mimi wamenitoka kweliWapinzani wa bongo ukishaanza tu kuwachekea sana wanakuona mjinga..
Ndiyo maana Magu alikuwa anawanyoosha...
Hakuna jipya mkuu, huyu muda si muda atakuwa hatakatili kuliko jpm, lakini kaa tuliomba mungu kamuondoa jpm , sioni sababu ya yeye akileta taabu tunarudia yule yule mungu, tz sio mali ya ccmManake atawadhuru wakajitibu au?
Aisee..... mbona mambo ni kawaida sana
Ndio raha ya kumiliki vyombo,na ndio Kazi ya vyombo kuwashughulikia waleta chokochoko
Walifeli kwenye uchumi ndio sababu ya kutolewa,mama anaweka Uchumi sawia anawanyoosha chadomo kwenye siasa uchwaraElbashir na Mugabe nao walikuwa wanamiliki hivyo vyombo, tupe mrejesho wao.
Walifeli kwenye uchumi ndio sababu ya kutolewa,mama anaweka Uchumi sawia anawanyoosha chadomo kwenye siasa uchwara
Barakala hilo....Kibaraka wa mabeberu, Mzee wa MIGA. π€£
Asante mama Samia. Message sent and delivered kwa faru John & Co. Kazi iendelee mbele.Rais Samia amewataka wananchi wa Morogoro wasikubali chokochoko zinazoanzishwa na baadhi ya watu.
Amesema hao wanaotaka kuanzisha vurugu wameshaandaa na wanajua watakavyojitibia ikitokea wamepata madhara....
Badilisheni ya saccos yenu inayomfanya faru John kuwa mwenyekiti wa milele na hakuna nyumbu wa kumpinga.MaCCM mnamuogopa sana Lissu
Katiba mpya ni lazima, mtake msitake.
Linatumiwa na rob amster pia ππBarakala hilo....
Linatumiwa na MABEBERU.....
π π π, kuna Chama cha mfukoni kinao hao vichaa wa kutosha.Mee too namuombea heri katika kutawala taifa hili ambao wenye akili wachache tumezungukwa na vichaa lukuki!
Tuliletewa Maghufuli kwasababu Kikwete alishambuliwa βdailyβ? Tuliletewa na nani? Unaongea kama vile ni chakula tuliagiza, ama labda bidhaa flani!Mimi wa wapinzani wamenichosha wa nchi hii bana kikwete was fair wakawa Wana mshambulia daily matokeo yake tukaletewa magufuli aliyekuwa haambiliki wakanyooshwa mpaka daily ilikuwa jela Sasa mama kaanza vizuri msikivu wao Wana mshambulia bila aibu, mbona wakati wa Magu alikuwa ana vunja Hadi katiba wakaufyata, naona wanataka kumwaribia mama vile wanajua ni mama wanafikiri ni dhaifu, kiukweli Mimi staki wamu force mama atumie power yake kikatiba watalia machozi hawa. Mimi wamenitoka kweli