Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

Mkuu Gavana ulipotea sana baada ya UCHAGUZI WA 2020.....

Naona kusikia "CHOKOCHOKO" umerudi....🀣🀣

Vipi akhui za huko Chokocho?
CCM ni CCM hawana jipya , yeye mwenyewe kaingia madarakani kwa kumwagwa damu Za watu , utegemee nini??
 
Sawa mkuu unaweza kuwa mkweli ila haimanishi upo sahihi! Mie sina tatizo na katiba mpya ila nina tatizo na wanaotumia lugha za sokoni kujitapa kuwa wanadai katiba mpya

CCM ni CCM hawana jipya , yeye mwenyewe kaingia madarakani kwa kumwagwa damu Za watu , utegemee nini??
Nani kamwaga damu ?!!!

Mh.SSH hakuchaguliwa kwa kura.....
 

swali ambalo wewe na famili yenu mkikaa

anayetaka katiba mpya ni nani? CDM au wananchi? (tafakari kwanza)

ukipata jibu utajua nani anaingia barabarani?
 
Neno "kutokubali" ni neno kali?
swali ambalo wewe na famili yenu mkikaa

anayetaka katiba mpya ni nani? CDM au wananchi? (tafakari kwanza)

ukipata jibu utajua nani anaingia barabarani?
Hivi una akili timamu?
Ni kama umezinduka usingizini na kuandika upuuzi, vipi?

Unakielewa ulichoandika hapo? Usinipotezee muda!
 
Wapuuzi sana hao jamaa.
 
Wewe upo tayari kwa lolote???

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sijaona mahala popote vurugu, kama ni maandamano ya kudai katiba mpya ndadhani maandamano yapo kisheria as long wapate kibali, kama ni mikutano ya siasa katiba imetoa haki kwa vyama vya siasa kufanya mikutano

Anaevunja katiba ndie anaechochea vurugu
Hizo sheria mnazozizungumzia kuna utaratibu wake. Kafa mwamba tu mshaanza matusi tena nyau nyinyi wakati mlikuwa nyote mmeufyata.

Ukitaka kufanya mikusanyiko unatakiwa uwe na vibali vya wana usalama. Ukitaka kufanya maandamano unatakiwa uwe na vibali. Huna kibali tulia nyumbani tusitafutane lawama.
 
kuwadhibiti kwake itabidi mpigwe vibaya mno
Kwani wakipigwa kidogo tu huwa hawaelewi?? Mpaka wapate dizaini ya MUROTO???

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kwani wakipigwa kidogo tu huwa hawaelewi?? Mpaka wapate dizaini ya MUROTO???

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Eeh wanatakiwa wachezee kichapo cha mbwa koko! Kipindi cha Uchaguzi kile tu Zenji waliipata pataπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…