Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Mkuu Gavana ulipotea sana baada ya UCHAGUZI WA 2020.....Uliishi wewe Na hiyo Amani yako
Naona kusikia "CHOKOCHOKO" umerudi....🤣🤣
Vipi akhui za huko Chokocho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Gavana ulipotea sana baada ya UCHAGUZI WA 2020.....Uliishi wewe Na hiyo Amani yako
CCM ni CCM hawana jipya , yeye mwenyewe kaingia madarakani kwa kumwagwa damu Za watu , utegemee nini??Mkuu Gavana ulipotea sana baada ya UCHAGUZI WA 2020.....
Naona kusikia "CHOKOCHOKO" umerudi....🤣🤣
Vipi akhui za huko Chokocho?
Sawa mkuu unaweza kuwa mkweli ila haimanishi upo sahihi! Mie sina tatizo na katiba mpya ila nina tatizo na wanaotumia lugha za sokoni kujitapa kuwa wanadai katiba mpya
Nani kamwaga damu ?!!!CCM ni CCM hawana jipya , yeye mwenyewe kaingia madarakani kwa kumwagwa damu Za watu , utegemee nini??
Huyo alochaguliwa kwa kura ni nani?Nani kamwaga damu ?!!!
Mh.SSH hakuchaguliwa kwa kura.....
Ina maana gani ya kwenda kupata "Comfort', na itakuwaje 'comfort' kama mikutano hiyo haikidhi mahitaji?
Utekelezaji..., ataachia tu hakuna namna.
Sasa hivi atajitahidi kutafuta njia tu za kupitia asionekane kuwa 'ka'capitulate'. Mshauri asijiweke sehemu ngumu akakosa pa kutokea na heshima zake.
Kenge huyuNani kamwaga damu ?!!!
Mh.SSH hakuchaguliwa kwa kura.....
Neno "kutokubali" ni neno kali?Mbowe aliongea maneno makali sana...mfano "hatutokubali hatutokubali..."
Mdude Nyagali akamaliza "mwambieni huyo mama yenu kuwa hamuogopi ,atamnyoa na wembe...." Ridiculous....😲
Hizo si CHOKOCHOKO ?!!!
KOSA AWE NALO RAIS kutukumbusha utulivu na maelewano nchini ,ila lisiwe kwa Mbowe na Mdude?!! Si ndio eeee?!!!
Hivi una akili timamu?swali ambalo wewe na famili yenu mkikaa
anayetaka katiba mpya ni nani? CDM au wananchi? (tafakari kwanza)
ukipata jibu utajua nani anaingia barabarani?
🤣Kenge huyu
Wapuuzi sana hao jamaa.Mbowe aliongea maneno makali sana...mfano "hatutokubali hatutokubali..."
Mdude Nyagali akamaliza "mwambieni huyo mama yenu kuwa hamuogopi ,atamnyoa na wembe...." Ridiculous....😲
Hizo si CHOKOCHOKO ?!!!
KOSA AWE NALO RAIS kutukumbusha utulivu na maelewano nchini ,ila lisiwe kwa Mbowe na Mdude?!! Si ndio eeee?!!!
Mbowe kachaguliwa kwa kura zipi hapo ufipa? Mwenyekiti wa milele ndio apewe nchini si atakomalia madarakani kama mzee M7Huyo alochaguliwa kwa kura ni nani?
Mnoo mkuu wangu ....Wapuuzi sana hao jamaa.
Shauri yenu.Huyu mama nikimuona kama mwenye busara kumbe ni Magufuli wa kike
Tulishasema tukilianzisha hatutaki ngonjera.Kwa hiyo ameona jibu la wanaotaka Katiba Mpya ni kuwadhuru,yale yale ya mwendazake. CCM ni ile ile,hoja hujibiwa kwa mtutu wa bunduki.
Sisi tunaendelea kuishi kwa amani tele. Nyinyi endeleeni na vetting.Hii nchi kwa style ya vetting hii hatutakaa tupate Rais
Wewe upo tayari kwa lolote???Acha kyogopesha watu wewe hata ukilala mwisho ni upi kama si kifo. Nyie ndo mmefanya taifa lifike hapa kwa kujikomba na uchu nchi hii haiko sawa bila kupata watu ambao wapo tiyar kwa lolote hamna kitaendelea. Na ww unayejifanya kusifia hali ikichafuka nawe utavutwa masikio. Nimemaind sana kwa mchango wako.
Hizo sheria mnazozizungumzia kuna utaratibu wake. Kafa mwamba tu mshaanza matusi tena nyau nyinyi wakati mlikuwa nyote mmeufyata.Sijaona mahala popote vurugu, kama ni maandamano ya kudai katiba mpya ndadhani maandamano yapo kisheria as long wapate kibali, kama ni mikutano ya siasa katiba imetoa haki kwa vyama vya siasa kufanya mikutano
Anaevunja katiba ndie anaechochea vurugu
Kwani wakipigwa kidogo tu huwa hawaelewi?? Mpaka wapate dizaini ya MUROTO???kuwadhibiti kwake itabidi mpigwe vibaya mno
Eeh wanatakiwa wachezee kichapo cha mbwa koko! Kipindi cha Uchaguzi kile tu Zenji waliipata pata😅😅😅Kwani wakipigwa kidogo tu huwa hawaelewi?? Mpaka wapate dizaini ya MUROTO???
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😀😀😀😀😀😀😀Atake asitake Lazima katiba mpya
Huyu mama atakuja kupasuka kama meko