Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

Rais Samia: Msikubali wanaotaka kuanzisha chokochoko, pakichafuka ni wewe utakayekaa ndani

Mkuu Gavana ulipotea sana baada ya UCHAGUZI WA 2020.....

Naona kusikia "CHOKOCHOKO" umerudi....🤣🤣

Vipi akhui za huko Chokocho?
CCM ni CCM hawana jipya , yeye mwenyewe kaingia madarakani kwa kumwagwa damu Za watu , utegemee nini??
 
Sawa mkuu unaweza kuwa mkweli ila haimanishi upo sahihi! Mie sina tatizo na katiba mpya ila nina tatizo na wanaotumia lugha za sokoni kujitapa kuwa wanadai katiba mpya

CCM ni CCM hawana jipya , yeye mwenyewe kaingia madarakani kwa kumwagwa damu Za watu , utegemee nini??
Nani kamwaga damu ?!!!

Mh.SSH hakuchaguliwa kwa kura.....
 
Ina maana gani ya kwenda kupata "Comfort', na itakuwaje 'comfort' kama mikutano hiyo haikidhi mahitaji?

Utekelezaji..., ataachia tu hakuna namna.

Sasa hivi atajitahidi kutafuta njia tu za kupitia asionekane kuwa 'ka'capitulate'. Mshauri asijiweke sehemu ngumu akakosa pa kutokea na heshima zake.

swali ambalo wewe na famili yenu mkikaa

anayetaka katiba mpya ni nani? CDM au wananchi? (tafakari kwanza)

ukipata jibu utajua nani anaingia barabarani?
 
Mbowe aliongea maneno makali sana...mfano "hatutokubali hatutokubali..."

Mdude Nyagali akamaliza "mwambieni huyo mama yenu kuwa hamuogopi ,atamnyoa na wembe...." Ridiculous....😲

Hizo si CHOKOCHOKO ?!!!

KOSA AWE NALO RAIS kutukumbusha utulivu na maelewano nchini ,ila lisiwe kwa Mbowe na Mdude?!! Si ndio eeee?!!!
Neno "kutokubali" ni neno kali?
swali ambalo wewe na famili yenu mkikaa

anayetaka katiba mpya ni nani? CDM au wananchi? (tafakari kwanza)

ukipata jibu utajua nani anaingia barabarani?
Hivi una akili timamu?
Ni kama umezinduka usingizini na kuandika upuuzi, vipi?

Unakielewa ulichoandika hapo? Usinipotezee muda!
 
Mbowe aliongea maneno makali sana...mfano "hatutokubali hatutokubali..."

Mdude Nyagali akamaliza "mwambieni huyo mama yenu kuwa hamuogopi ,atamnyoa na wembe...." Ridiculous....😲

Hizo si CHOKOCHOKO ?!!!

KOSA AWE NALO RAIS kutukumbusha utulivu na maelewano nchini ,ila lisiwe kwa Mbowe na Mdude?!! Si ndio eeee?!!!
Wapuuzi sana hao jamaa.
 
Acha kyogopesha watu wewe hata ukilala mwisho ni upi kama si kifo. Nyie ndo mmefanya taifa lifike hapa kwa kujikomba na uchu nchi hii haiko sawa bila kupata watu ambao wapo tiyar kwa lolote hamna kitaendelea. Na ww unayejifanya kusifia hali ikichafuka nawe utavutwa masikio. Nimemaind sana kwa mchango wako.
Wewe upo tayari kwa lolote???

😀😀😀😀😀
 
Sijaona mahala popote vurugu, kama ni maandamano ya kudai katiba mpya ndadhani maandamano yapo kisheria as long wapate kibali, kama ni mikutano ya siasa katiba imetoa haki kwa vyama vya siasa kufanya mikutano

Anaevunja katiba ndie anaechochea vurugu
Hizo sheria mnazozizungumzia kuna utaratibu wake. Kafa mwamba tu mshaanza matusi tena nyau nyinyi wakati mlikuwa nyote mmeufyata.

Ukitaka kufanya mikusanyiko unatakiwa uwe na vibali vya wana usalama. Ukitaka kufanya maandamano unatakiwa uwe na vibali. Huna kibali tulia nyumbani tusitafutane lawama.
 
Kwani wakipigwa kidogo tu huwa hawaelewi?? Mpaka wapate dizaini ya MUROTO???

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Eeh wanatakiwa wachezee kichapo cha mbwa koko! Kipindi cha Uchaguzi kile tu Zenji waliipata pata😅😅😅
 
Back
Top Bottom