Rais Samia mteue Dkt. Ashatu Kijaji kuwa Waziri wa Fedha na Mipango



Declared intetest??!!
 
Shida tunaamini kwenye wasomi waliosoma na kujaza nadharia kichwani na kuwaacha watumie nadharia zao kuongoza Taifa la watu zaidi ya 60mil.

Uongozi wa Tanzania unahitaji wahuni wahuni watoto wa mjini wanaojua nini maana ya "real business" wanaojua maisha kivitendo na kuyapractice, jamii ya watu kama JK, MBOWE, ADAM MALIMA, RAMADHANI DAU, LEMA, SUGU, PROP JAY, PAPAA MAKALA, RIZ JK, MAKAMBA JUNIOR, ENG HERSI WA YANGA, KINANA, NAPE, KENYATA JNR WA KENYA & na wanaofanana. Hawa watu wa theory mnawapa nafasi nyeti kutest theory zao lazima mtafeli tu..

Business need real people who knows a,b,c of how things happens, watoto wa shule wasio na exposure ni hatari kwa ustawi wa Taifa hili.

Tunapozungumzia exposure tunazungumzia mipambano na mikiki mikiki ya kimjinimjini na uhuni wote wa dunia hii.
 
Unampa mtu Uwaziri ambaye hajuna anachojua zaidi ya maisha ya shule na A's za darasani, hajui kuplot hata basics graph ya street life..

Chain yoote ya marais wa USA utaona wengi ni wahuni wahuni watoto wa mjini mjini wanaojua mipango na fitina za dunia.

Ugenius wa darasani sio sawa na ugenius wa kitaa na duniani humu, tunaamini sana magenius wa shule matokeo yake tunawapa madaraka na kujikuta wanazidiwa ujanja kila siku na magenius wa kitaa na kutesa mamilioni ya watu, Magenius wakitaa ndio wanaofit kwenye nafasi za uongozi na hawa darasani kuna kazi zao zinazowahitaji si hizi tunazowapa.
 
Umeongea ukweli kabisa. Sijaona wa kumzidi mwigulu.
 
1. Amekuwa waziri wa Mawasiliano na Teknologia. Tukashudua mabando yakapanda gafla isivyo kawaida mpaka raisi wa Nchi akaingilia kati.
2.Kahamishiwa wizara ya uwekezaji na Biashara. Ambopo FCC ipo chini yake ila Tunaendelea kushuhudia bei ya bidhaa zinapanda isivyo kawaida.
Amewahi kutoa matamko kadhaa juu ya kupanda kwa bidhaa ila yote yamepuuziwa kabisa.
Ni Ujinsia tu ndio unaendelea kumuweka hapo alipo.
 
Sasa maswala ya Mungu yana tuhusu nini sisi WATANZANIA katika maendeleo yetu?
 
Ni ujamaa upi uliopo Tanzania

Ulioandikwa kwenye Ilani ya CCM

 
Mwigulu unamchukia kitu gani?au alikukopa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…