Rais Samia mtu mkweli asiyeyumbishwa

Rais Samia mtu mkweli asiyeyumbishwa

UPUUZI MTUPU!!
Mpuuzi ni Lissu anayedhani wazungu wasiojiweza(CDU wameshindwa uchaguzi)watamsaidia kuingia IKULU....🤣🤣
IDU_David_McAllister-600x600.jpg
 
Siasa za Mdude zinashangaza sana Sana....
Chadema ndiyo makamanda wO hao yaani wanachukuwwa wavuta bangi mtaani wanajiita wanachadema na mwwnyekiti anaridhia kabisa kwakuwa siyo chama ni genge la wahuni mbowe katengeneza magaidi wengi sana tangu awe mqwnyekiti
 
Na uhuni wenyewe hauwasaidii hao wahuni wala chama chao....
 
Ukitia akili kichwani utaelewa tu wewe mchumia tumbo.
Argumentum ad hominem....i thought you would come up with sensible remarks unfortunately you bring up preposterous 🤣🤣
 
Juzi akiwa Chato, Rais Sami alishangiliwa sana alipoonesha kwamba anataka kuongelea suala la Chato kuwa mkoa. Angekuwa mtu wa kufuata kelele za kisiasa lazima angingia mkumbo halafu kichwakichwa aseme Chato ni mkoa.

Hii sio mara ya kwanza kwa Rais wetu kuonesha wazi kwamba yeye ni mtu mkweli na sio mtu wa kufuata kelele na mkumbo wa Kisiasa. Hilo linathibitika kupitia

1. Kesi ya Mbowe. Kwa kelele nyingi za wapinzani, angekuwa Rais wa kuyumbishwa naamini angemuambia DPP aachane na ile kesi. Lakini kwa sababu hayumbishwi, ameiacha Mahakama ifanye kazi yake.

2. Tozo. Watu waliongea saaana, lakini kaendelea kuwaambia ukweli kwamba tunahitaji pesa ile hivyo lazima tutoe kodi.

3. Sabaya. Alimuondoa kazini, akaacha Sheria ifuatwe, Ni historia.

Ni baadhi tu ya mambo, ila huyu ni Rais mwenye msiamo.
Mei Mosi aliahidi ataongeza mshahara mwakani bila kufuata makelele ya wafanyakazi.
 
Ile siku alinikosha kwelikweli....alitambaa kiukweli kuwa CORONA imetuachia uchumi dhaifu na atajitahidi kuupandisha ndipo aongeze mshahara....ila MADARAJA akayapandisha.....💪
 
Baada ya kuombwa na ASKOFU SHOO leo akawajibu KCMC kuwa uchumi ukiruhusu ATAAJIRI WATUMISHI WA AFYA NA KUWAPELEKEA.....

Rais SSH yuko DIRECT sana na HAZUNGUKI "kipang'ang'a"😍
 
Juzi akiwa Chato, Rais Sami alishangiliwa sana alipoonesha kwamba anataka kuongelea suala la Chato kuwa mkoa. Angekuwa mtu wa kufuata kelele za kisiasa lazima angingia mkumbo halafu kichwakichwa aseme Chato ni mkoa.

Hii sio mara ya kwanza kwa Rais wetu kuonesha wazi kwamba yeye ni mtu mkweli na sio mtu wa kufuata kelele na mkumbo wa Kisiasa. Hilo linathibitika kupitia

1. Kesi ya Mbowe. Kwa kelele nyingi za wapinzani, angekuwa Rais wa kuyumbishwa naamini angemuambia DPP aachane na ile kesi. Lakini kwa sababu hayumbishwi, ameiacha Mahakama ifanye kazi yake.

2. Tozo. Watu waliongea saaana, lakini kaendelea kuwaambia ukweli kwamba tunahitaji pesa ile hivyo lazima tutoe kodi.

3. Sabaya. Alimuondoa kazini, akaacha Sheria ifuatwe, Ni historia.

Ni baadhi tu ya mambo, ila huyu ni Rais mwenye msiamo.

Uzoefu nao anao
 
Lisu katelekezwa na Amsterdam baada ya kugundulika kuwa hana pesa. Kumbuka mkono mtupu haulambwi!
🤣🤣Yule MCANADA ni beberu haswaaa....yuko KIUCHUMI ZAIDI ha ha ha

Lissu anajifanya anawajua wazungu kupindukia kumbe ni tofauti....🤣
 
Mpuuzi wewe mchumia tumbo udhalimu na dhuluma za nchi hii Wapumbavu kama wewe mnazikumbatia. JITATHMINI ni binadamu wa aina gani wewe kama unastahili kuitwa binadamu.

Back
Top Bottom