Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Mpuuzi ni Lissu anayedhani wazungu wasiojiweza(CDU wameshindwa uchaguzi)watamsaidia kuingia IKULU....🤣🤣UPUUZI MTUPU!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpuuzi ni Lissu anayedhani wazungu wasiojiweza(CDU wameshindwa uchaguzi)watamsaidia kuingia IKULU....🤣🤣UPUUZI MTUPU!!
Chadema ndiyo makamanda wO hao yaani wanachukuwwa wavuta bangi mtaani wanajiita wanachadema na mwwnyekiti anaridhia kabisa kwakuwa siyo chama ni genge la wahuni mbowe katengeneza magaidi wengi sana tangu awe mqwnyekitiSiasa za Mdude zinashangaza sana Sana....
Mpuuzi ni Lissu anayedhani wazungu wasiojiweza(CDU wameshindwa uchaguzi)watamsaidia kuingia IKULU....🤣🤣View attachment 1976604
Mme wa tundu lissu huko uberigijiMpuuzi ni Lissu anayedhani wazungu wasiojiweza(CDU wameshindwa uchaguzi)watamsaidia kuingia IKULU....🤣🤣View attachment 1976604
Na uhuni wenyewe hauwasaidii hao wahuni wala chama chao....Chadema ndiyo makamanda wO hao yaani wanachukuwwa wavuta bangi mtaani wanajiita wanachadema na mwwnyekiti anaridhia kabisa kwakuwa siyo chama ni genge la wahuni mbowe katengeneza magaidi wengi sana tangu awe mqwnyekiti
HUwasaidii zaidi ya kuendelea kukichafua chama na kuendelea kulalamika Kila siku ACT kinaenda kuwa chama kikubwa soon kuliko chademaNa uhuni wenyewe hauwasaidii hao wahuni wala chama chao....
Argumentum ad hominem....i thought you would come up with sensible remarks unfortunately you bring up preposterous 🤣🤣Ukitia akili kichwani utaelewa tu wewe mchumia tumbo.
Wamepoteana 🤣🤣HUwasaidii zaidi ya kuendelea kukichafua chama na kuendelea kulalamika Kila siku ACT kinaenda kuwa chama kikubwa soon kuliko chadema
🤣🤣 Vipi na yule wakili Robert Amsterdam?!!!Mme wa tundu lissu huko uberigiji
#Kazi Inaendelea Kwa Kasi & Weledi Zaidi 💪👊Raisi Samia ni mkweli na mwenye misimamo thabiti. Kazi Iendelee...
Mei Mosi aliahidi ataongeza mshahara mwakani bila kufuata makelele ya wafanyakazi.Juzi akiwa Chato, Rais Sami alishangiliwa sana alipoonesha kwamba anataka kuongelea suala la Chato kuwa mkoa. Angekuwa mtu wa kufuata kelele za kisiasa lazima angingia mkumbo halafu kichwakichwa aseme Chato ni mkoa.
Hii sio mara ya kwanza kwa Rais wetu kuonesha wazi kwamba yeye ni mtu mkweli na sio mtu wa kufuata kelele na mkumbo wa Kisiasa. Hilo linathibitika kupitia
1. Kesi ya Mbowe. Kwa kelele nyingi za wapinzani, angekuwa Rais wa kuyumbishwa naamini angemuambia DPP aachane na ile kesi. Lakini kwa sababu hayumbishwi, ameiacha Mahakama ifanye kazi yake.
2. Tozo. Watu waliongea saaana, lakini kaendelea kuwaambia ukweli kwamba tunahitaji pesa ile hivyo lazima tutoe kodi.
3. Sabaya. Alimuondoa kazini, akaacha Sheria ifuatwe, Ni historia.
Ni baadhi tu ya mambo, ila huyu ni Rais mwenye msiamo.
Ile siku alinikosha kwelikweli....alitambaa kiukweli kuwa CORONA imetuachia uchumi dhaifu na atajitahidi kuupandisha ndipo aongeze mshahara....ila MADARAJA akayapandisha.....💪Mei Mosi aliahidi ataongeza mshahara mwakani bila kufuata makelele ya wafanyakazi.
Lisu katelekezwa na Amsterdam baada ya kugundulika kuwa hana pesa. Kumbuka mkono mtupu haulambwi!🤣🤣 Vipi na yule wakili Robert Amsterdam?!!!
Tundu Lissu anarukaruka tu....
Juzi akiwa Chato, Rais Sami alishangiliwa sana alipoonesha kwamba anataka kuongelea suala la Chato kuwa mkoa. Angekuwa mtu wa kufuata kelele za kisiasa lazima angingia mkumbo halafu kichwakichwa aseme Chato ni mkoa.
Hii sio mara ya kwanza kwa Rais wetu kuonesha wazi kwamba yeye ni mtu mkweli na sio mtu wa kufuata kelele na mkumbo wa Kisiasa. Hilo linathibitika kupitia
1. Kesi ya Mbowe. Kwa kelele nyingi za wapinzani, angekuwa Rais wa kuyumbishwa naamini angemuambia DPP aachane na ile kesi. Lakini kwa sababu hayumbishwi, ameiacha Mahakama ifanye kazi yake.
2. Tozo. Watu waliongea saaana, lakini kaendelea kuwaambia ukweli kwamba tunahitaji pesa ile hivyo lazima tutoe kodi.
3. Sabaya. Alimuondoa kazini, akaacha Sheria ifuatwe, Ni historia.
Ni baadhi tu ya mambo, ila huyu ni Rais mwenye msiamo.
🤣🤣Yule MCANADA ni beberu haswaaa....yuko KIUCHUMI ZAIDI ha ha haLisu katelekezwa na Amsterdam baada ya kugundulika kuwa hana pesa. Kumbuka mkono mtupu haulambwi!
She is a leader....toka akiwa NGO's😍Uzoefu nao anao
Argumentum ad hominem....i thought you would come up with sensible remarks unfortunately you bring up preposterous 🤣🤣
Hana chake huyo si tupo..Sawa...historia hujirudia...tutafahamu zaidi 2030...mark my words