Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Lissu alipigwa risasi kwenye viwanja vya bunge vyenye walinzi na CCTV Camera, CCTV zikaondolewa na hakuna aliyekamatwaYaani watu wauwane na madeni Yao na mafumanizi halafu kesi uje uwape CCM?
Yaani tuko madarakani tuanze kupigana na wehu, sie ni kufuata tu Sheria yaani mponde mawe misafara ya viongozi wetu na sie tuokote mawe? Polisi kazi Yao nini? Je unaushahidi wa kuibiwa Kura so majimbo na kata mlizoshinda nyie je mliiba Kura? Tatizo lenu nyie chadema Bana, yaani mkishinda ni Sawa Ila CCM tukishinda ni tumeiba nyie chadema sijawahi kuwaelewa Kwa kweli.
Yaani watu wauwane na madeni Yao na mafumanizi halafu kesi uje uwape CCM?
Mbona kesi nyingi tu za uchaguzi chadema mliwahi kushinda ktk mahakama hizihizi, lissu mwenyewe aliwahi shinda na akabubujika machozi ya furaha ndani ya mahakama.Unadhani huo uchaguzi unafanyikia gizani hatuoni kinachofanyika kwenye uchaguzi ama? Ushahidi upeleke kwenye hizi mahakamà zinazoagizwa aina ya hukumu za kutoa? Uza ubongo huo bro maana unakaa nao kwa hasara.
Mie bado cjazeeka ni mbaba wa umri wa Kati 30+ kubali kataa kuna mauji mengi ya kimaslahi binafsi na mapenzi iliingizwa siasa.Hapa ndio unaona umetupoteza maboya, kwamba hatujui yapi mauji ya kisiasa na yapi ya mapenzi! Inaonekana ww utakuwa ni mzee, wengi ndio huwa wanaujinga huu.
Suala la lissu usiihushe CCM wala serikali make lissu mwenyewe amekuwa mzito kutoa ushirikiano ktk suala la uchunguzi.Lissu alipigwa risasi kwenye viwanja vya bunge vyenye walinzi na CCTV Camera, CCTV zikaondolewa na hakuna aliyekamatwa
Kupigwa risasi kule nako ni fumanizi?
Mengine ni madhaifu ya kibanadamu Ila at all alikuwa good!
Sgr, Nyerere dam yenye umeme wa uhakika kwako si polite?Hakuwa good kwa lolote yule kichaa.
Enzi gani?... kuna yule jamaa alikuwa anapenda sana kutembea na picha ya jamaa mmoja inadaiwa alimwagiwa tindikali enzi hizo! Sidhani kama atamwelewa Rais.
... wengine wote wameelewa isipokuwa wewe!Enzi gani?
Mbona kesi nyingi tu za uchaguzi chadema mliwahi kushinda ktk mahakama hizihizi, lissu mwenyewe aliwahi shinda na akabubujika machozi ya furaha ndani ya mahakama.
Una akili timamu ?Suala la lissu usiihushe CCM wala serikali make lissu mwenyewe amekuwa mzito kutoa ushirikiano ktk suala la uchunguzi.
Mie bado cjazeeka ni mbaba wa umri wa Kati 30+ kubali kataa kuna mauji mengi ya kimaslahi binafsi na mapenzi iliingizwa siasa.
Suala la lissu usiihushe CCM wala serikali make lissu mwenyewe amekuwa mzito kutoa ushirikiano ktk suala la uchunguzi.
SawaAngekufa wasingefahamu waliomuua? Nani aliondoa askari waliokuwa getini siku ya shambulio lake? Ukijua hilo ndio utajua ww una mawazo ya kizee.
So wazee Wana mawazo mabovu?Narudia tena, unadhani hatujui mauaji ya kisiasa na ya mapenzi? Kama una miaka 30+, basi ujue ww na kijana kiumri lakini mwenye mawazo ya kizee.
Kabisa kabisa!Una akili timamu ?
Ndio rahisi kulishwa propaganda za kijinga.So wazee Wana mawazo mabovu?
Katika hao wazee pia babako ni miongoni mwao?Ndio rahisi kulishwa propaganda za kijinga.