Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Lissu alipigwa risasi kwenye viwanja vya bunge vyenye walinzi na CCTV Camera, CCTV zikaondolewa na hakuna aliyekamatwaYaani watu wauwane na madeni Yao na mafumanizi halafu kesi uje uwape CCM?
Kupigwa risasi kule nako ni fumanizi?