Rais Samia muondoe ofisini haraka huyu jamaa wa EWURA

Hii nchi imejaa aibu na ujinga mwingi sana.

Tuendelee kumuomba Mungu. Kila jambo lina majira na sababu zake

Mungu mnamsingizia tu, kuendelea kumusumbua muumba kwa ujinga na utindiga wa akili zetu waafirika ni Ujinga+, inchi inaliwa hii nyie endeleeni kuomba.
 
Yaani akili zetu visoda sana. Na ndio zimejaa kila mahali. Inakuwaje walanguzi wako ofcn?
 
JWTZ na TISS Wetu hawahusiki na mambo ya uchumi.
 
SAMIA KUKUBALI KUSHINDWA PIA NI USHINDI MAMA.

UMEJARIBU, ULIVYOFANIKIWA UMEFANIKIWA, HEBU KAA PEMBENI UPISHE WENGINE NAO WAJARIBU.

USIVUNJE STAHA ULIYOJIJENGEA KWA MUDA MREFU KWA KUNG'ANG'ANIA USIVYOWEZA. URAISI HUUWEZI MAMA.
 
Ni was tunaibiwa Sana na batina kashajifunza wizi na amependa madarak hvyo wanataka arud ofcn 2026 bungeni Kam spika kwa vuovyote vile pesa zinakuzanywa sana
 
Hivi kweli kama Taifa tunachezea ishu nyeti ya uagizaji wa petrol?
Hii nadhani baadhi ya mifumo ama baadhi ya watu nchi hii wakiona una uwezo wa kujakukisaidia Taifa bila kujali wa aliyenacho na asiyenacho unatengenezewa "blackmailing scheme".

KUna walazimishwa fanya Jambo ta hawati lakini baadhi ya mfumo yawafunga..wafanyeje!!!

Nishati ni injini ya Uchumi na maendeleo ya nchi isichezewe !
 
Aliniudhi mno jins alivyo fanya kaza za mwanasheria mkuu mpuuz Sana betina
 
Polisi kwenye uchaguzi ujao,wawaambie chama tawala kuwa wao hawajihusishi na siasa.Ngoma ibaki kwao na upinzani,tuone itakuaje.
Embu acha hz siasa ccm kungoka Ni kwa mtutu wa bunduki
 
Mungu mnamsingizia tu, kuendelea kumusumbua muumba kwa ujinga na utindiga wa akili zetu waafirika ni Ujinga+, inchi inaliwa hii nyie endeleeni kuomba.
Sawa
 
Nimeshakueleza sio PURA walishaondelewa hayo mamlaka ya kuagiza mafuta hiyo regulation yako ndio ilianzisha PBPA.


Maelezo yote, majukumu ya PBPA na mchakato wa ‘bulk procurement’ yameelezwa hapo juu kwenye link ya website yao including hizo regulations unazoleta zilizofanya kuanzishwa kwa PBPA.
 
Polisi kwenye uchaguzi ujao,wawaambie chama tawala kuwa wao hawajihusishi na siasa.Ngoma ibaki kwao na upinzani,tuone itakuaje.
Polisi hawawezi wakipewa kitu kidogo wanasahau msoto unaozikumba familia zaos.
 
Wote na mkewe waliteuliwa na Magufuli
 
Eee kumbe MH ... ni .... wa huyu duh! Asante kwa taarifa hii muhimu sikuwa nayajua haya
Aise ...!!!
 
Matatizo ya uhaba wa dollar sio mapya Tanzania ila sidhani kama yamewahi kufikia kiwango hiki hadi kuhatarisha import ya mafuta.

Ndio kuna sababu za msingi za kiuchumi kufanya dollar hii-appreciate in value. Mainly due to higher interest rate set by US Federal Reserve zinazopelekea increase in libor rate kwenye inter-banking lending. But also ndani ya uchumi wa Tanzania kuna increase in demand ya dollar not necessary kwa sababu za biashara za waagizaji ila artificial economic activities za ufisadi na biashara haramu na kusababisha shortage kwenye circulation.

Wakulaumiwa number moja ni serikali kwa kuacha wizi wa hela nyingi ukithiri na kusababisha artificial economy; pamoja na sera mbovu za kusimamia bureau de changes.
 







Mchakato wote wa ‘bulk procurement’ huo hapo juu, EWURA hawana influence yoyote.

Huyo betina na mumewe ni mafisadi tu na wenyewe; ila kila fisadi abebeshwe mzigo wake hapo kwenye uagizaji wa mafuta hawapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…