PreGE2025 Rais Samia: Mwenyezi Mungu awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa

PreGE2025 Rais Samia: Mwenyezi Mungu awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
View attachment 3351024
Nchi ipi? Uchaguzi upi? Tanzania hakuna uchanguzi kwani hakuna Tume ya uchaguzi kuna tume haramu ya kishetani inaitwa Tumeccm
 
Uzuri Mwenyezi Mungu haitaji kuambiwa nini afanye, yeye anayaona na kuyajua hata yale ambayo tunayawaza!!
 
Laana ya chadema imewakamata ccm ya magufuli yanakuja na Dr mpango atakuwa Rais wa mpito
 
Subbnaallah...Mungu hua anatoa damu zisizo na hatia? Kama ally kibao na wengineo...labda atakua "mungu" na sio Mungu.
 
If all mankind minus one were of one opinion, mankind would be no more justified in silencing that one person than he, if he had the power, would be justified in silencing mankind.
 
Hiyo ni Taa ya kijani ,🚦Go ahead signal , Wazee wa kazi wameambiwa endeleeni .
Umenifikirisha kidogo.

Inawezekana huyu mama anajihisi kuwa yeye ndiye "mungu", au kuwa karibu zaidi na huyo "mungu"; kwamba kila akitakacho yeye ndio kitakuwa anavyokitaka?

Sasa atatumia hisia hiyo hiyo "kuwaangamiza" wasiokubaliana naye!
 
Duuu yaani raia wako wote wanaenda kwenye mikutano ya Heche wafe wote. Yaani naona watabaki CCM pekee ndo watapona. Kwetu wanasema hata kama mtoto wako ni mweu haombei afe. Mungu wa haki hawezi ruhusu uangamizaji wa aina hiyo
 
Watu na majibu yao. Sasa Mussa Ahad ametokea wapi katika mada hii? 😁😁😁😁
Hujui?
Maombi yake ni sambamba na ya Samia.
Yeye anamwomba mungu wake awape kiharusi wote wanao pinga Samia kuwa rais.

Sasa nikuulize wewe: inawezekana Samia ndiye mungu?
 
Wakumbuke Mungu haziakiwi..apandacho mtu ndicho atakachovuna..
 
Back
Top Bottom