PreGE2025 Rais Samia: Mwenyezi Mungu awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
View attachment 3351024
Hiyo kuwa angamiza ndio anamaanisha, watekwe, wabakwe na kuuwawa.
 
Mama wa Unguja sasa amekuwa ni Vampire anakunywa damu za Wananchi wake.
 
Itamrudia mwenyewe, Isaya 28:18.

Hizo ni damu za watu, sasa anaanza kuweweseka. Nawaambieni wale wenye Imani mnajua vizuri. Tunavyoendelea kuomba na Mungu anaona atatenda. Tumeshaona mifano mingi sana, haitakuwa mara ya kwanza wala ya mwisho.
 
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
View attachment 3351024
Ipo siku na yeye ataangamia tu na roho yake mbaya. Na kama anafikiri yeye na hilo kundi lake la utekaji na mauaji wataishi milele, basi anajidanganya.
 
Maombi ya mhe. Madam prezda yako vzuri ila yakijibiwa yanaweza kumshangaza hata yeye pia.

Maana Mungu hapewi maagizo.

Amenikumbusha (1 Sam 14:24-45)sauli alipo toa agizo la kiapo kwamba askari wake wasile chochote mpaka washinde vita, baadae akashindwa hiyo vita.

Alipowakusanya watu wote ili kubaini nani kikwazo cha wao kushindwa vita ili auawe, ikagundulika ni mwanaye Jonathani aliyekula asali huko vitani.

Lakini pia(2 Sam 12) daudi alipotolewa unabii juu ya mtu mmoja aliyekuwa tajiri mwenye kondoo wengi na huku jirani yake akiwa na kakondoo kamoja tuu anako kapenda sana.

Sasa huyo mwenye kondoo wengi alipopata wageni akamchukua na kumchinja kondoo wa yule jirani yake badala achukue wakwake.

Sasa nabii Nathani akamwuliza mfalme daudi je, mtu huyo anastahili adhabu gani?
Mfalme Daudi akajibu kwa sauti ya ukali na hasira kwamba mtuu huyo anapswa kufa.
Ndipo nabii nathani akamwambia daudi mtu huyo ni wewe mwenyewe, daudi akaanza kulia na kuomba toba.
 
Anataka aambiwe mara ngapi ndipo aielewe, kama siyo kujifanya kuwa 'Chura Kiziwi' tu!

"NO REFORM, NO ELECTION', as simple as that!

Anaendeleza mipasho ile ile na ulaghai akifikiri watu hawaelewi upumbavu anaouendeleza mwenyewe, huku akihatarisha maisha ya waTanzania?
 
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
View attachment 3351024
Mwenyezi Mungu amwangamize yeye kwanza. Tena kabla ya uchaguzi
 
Maombi ya mhe. Madam prezda yako vzuri ila yakijibiwa yanaweza kumshangaza hata yeye pia.

Maana Mungu hapewi maagizo.

Amenikumbusha (1 Sam 14:24-45)sauli alipo toa agizo la kiapo kwamba askari wake wasile chochote mpaka washinde vita, baadae akashindwa hiyo vita.

Alipowakusanya watu wote ili kubaini nani kikwazo cha wao kushindwa vita ili auawe, ikagundulika ni mwanaye Jonathani aliyekula asali huko vitani.

Lakini pia(2 Sam 12) daudi alipotolewa unabii juu ya mtu mmoja aliyekuwa tajiri mwenye kondoo wengi na huku jirani yake akiwa na kakondoo kamoja tuu anako kapenda sana.

Sasa huyo mwenye kondoo wengi alipopata wageni akamchukua na kumchinja kondoo wa yule jirani yake badala achukue wakwake.

Sasa nabii Nathani akamwuliza mfalme daudi je, mtu huyo anastahili adhabu gani?
Mfalme Daudi akajibu kwa sauti ya ukali na hasira kwamba mtuu huyo anapswa kufa.
Ndipo nabii nathani akamwambia daudi mtu huyo ni wewe mwenyewe, daudi akaanza kulia na kuomba toba.
Dah!

JF ina mkusanyiko wa kila aina ya watu wajuzi wa maswala mbalimbali; na hata mapoyoyo yasiyokuwa na hili wala lile.
Mkuu, hiyo mifano yako ninatamani sana imfikie Samia, na aielewe ujumbe inaouwasilisha.
 
Mwenyezi Mungu amwangamize yeye kwanza. Tena kabla ya uchaguzi
Inafaa amweke pembeni kwanza, ashuhudie jinsi waTanzania wanavyo iokoa nchi yao wenyewe toka kwenye genge analoliongoza yeye.
 
Mambo Kadhaa kuhusu Askofu Gwajima

1.Mtu mwenye Misimamo katika Vitu anavyoviamini

2.Mtumishi wa MUNGU kweli kweli asiebagua Watu Kwa sababu ya Itikadi zao za Kidini,kabila Elimu jinsia ukanda,vyama

3.ANA HEKIMA mnoo kwa NEEMA ya MUNGU,ya Kuwafahamu watu,majira ni Kipi kifanyike

4.Anajua majira Ya kuzungumza na Majira ya kunyamaza na Azungumze nini

5.KITU ambacho HANA ni WOGA

6.Ametengeneza Watu Wengi wa Namna Yake

7.Maswali yake Ni ngumu sana kumpatia majibu sahii

8.Ukimtega kwa maswali au Maneno utabaki mdomo wazi ukistaajabu Hekima yake

9.Usiwe mwepesi Kumjibu unaweza jikuta umejibu upumbavu mkubwa mnoo hadi watoto wadogo wakashangaa

10.Kabla hajanena wala kufanya chochote anajua kabisa nini kitatokea hivyo siku zote Haofii matokeo

11.Analipenda Taifa lake kuliko chochote, hupenda kujiita Mr Tanzania 🇹🇿

12. Amefanya Mengi na ameongea mengi,ameshauri mengi ya kuiponya nchi yetu na Kuisaidia

13.Hutokea Hasa Taifa linapokuwa kuwa katika nyakati ngumu

14.HUWEZI kumuonga Kwa Vyeo wala Mali

15.Ametumwa kwaajili ya saa na Majira haya 🇹🇿

16.Hafi leo wala Kesho Mpaka amalize Ajenda ya Kiufalme

17.Ukishindwa Kushindana naye Ungana naye tu hata kwa Unafiki kwa Sababu Huwezi Kumshinda

Kama unampenda Gwajima ongeza walao mambo matatu Mazuri kuhusu Askofu Gwajima na share Kwa wingi
#TANZANIA 🇹🇿 KWANZA mengi Yote Baadae.

C & P
 
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
View attachment 3351024
Keshakuwa Mungu yeye ndo maana anaangamiza wanaomkosoa.
"Mungu" keshaangamiza Mdude.
 
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
View attachment 3351024
yeye ndiye namba moja kutaka kuingiza nchi kwenye machafuko. Dua imesikika!!!!
 
Mungu wetu ni mwema. Anafahamu vizuri nani wa kumwangamiza na nani wa kumpeleka panaponafasi. Tusubiri.
 
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
View attachment 3351024
Watakipata wanachokiomba NRNE
 
Uzuri Mwenyezi Mungu haitaji kuambiwa nini afanye, yeye anayaona na kuyajua hata yale ambayo tunayawaza!!
 
Back
Top Bottom