PreGE2025 Rais Samia: Mwenyezi Mungu awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
View attachment 3351024
Mungu ataisadia nchi kama atawaangamiza mafisadi, watekaji, wabakaji, walawiti, majambazi wa Mali za umma na kodi za Watanzania.
 
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
View attachment 3351024
Ataangamizwa yeye kwa kumwaga damu za Watanganyoka wasiokuwa na hatia kwa uchu wake wa kutaka kuitawala Tanganyika yetu, alaaniwe yeye na uzao wake vizazi hadi vizazi
 
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
View attachment 3351024
Hajali uhai wa watu wanaotekwa n kupotezwa kwa sababu ni yeye anayeagiza wafanyiwe hivyo.

Yeye anachojali ni kushinda uchaguzi na kuendelea kuwa Rais tu.
 
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
View attachment 3351024
Hivi hii Amani bila haki si upumbavu tu,kwa nini hamtaki uchaguzi huru
 
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
View attachment 3351024
Dua la kuku hilo.. Ataangamia yeye mwenyewe kwa kuwafanyia DHULMA Watanzania, Watanzania wanataka Katiba Mpya na TUME HURU YA UCHAGUZI, Full Stop. No Reforms, No Election 2025
 
Back
Top Bottom