Dah yaani nakumbuka Dkt Magufuli alivyofariki hii dunia acha tu. Nadhi if it happen kwa mwenyekiti wetu hizo shangwe zinaweza kuwa mara 10 ya Dkt Magufuli. Though Dkt Samia alikuwa na nafasi kubwa sana ya ku shine, sijui hicho kikundi kinamdanganya kinaundwa na akina naniAma kweli madaraka yanalevya. Hajui kuwa anaweza akaangamizwa yeye kabla ya hao anaotaka waangamizwe. Mungu ni fundi. Anafikiri kwa kuwa analindwa na mabunduki hawezi kuangamizwa. Mungu akiamua hakuna cha bunduki wala mzinga. Amwulize mwendazake aliko atamsimulia vizuri.
haya maombi tunayoomba sometimes tuwe makini; usijekuwa unajiombea mwenyewe. ukafikiri wenzako ndio wanaharibu nchi kumbe kuna watu wako au wewe mwenyewe kwa udhaifu wa kibinadamu ndio unaharibu kwa kujua au kutojua...bomu linabackfire, maombi yakabackfire.Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
View attachment 3351024
Ni ngumu bosi, Father Kitima au Gwajima wanamuambudu Mungu wa kweli aliye hai na anayeishi. Yetu masikio na Macho bosi siku ikitokea quote huu uzi kama kumbukumbu, Dkt Samia hatakiwi 2025! Ila yeye hajajua hahahaAmen, Mungu na awaangamize.....
Hahahhaa aisee kweli bosi, yaani kwa sababu unayeomba hivyo kumbe ndiyo unamchukiza Mungu anakuondoa hahahahaya maombi tunayoomba sometimes tuwe makini; usijekuwa unajiombea mwenyewe. ukafikiri wenzako ndio wanaharibu nchi kumbe kuna watu wako au wewe mwenyewe kwa udhaifu wa kibinadamu ndio unaharibu kwa kujua au kutojua...bomu linabackfire, maombi yakabackfire.
Amani which?Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
View attachment 3351024
Napuna tuSamia usimudhihaki Mungu
Aanze na yeye kwanzaWakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
View attachment 3351024
Mungu hatabiriki, ndio maana huwa anasema (kwetu sisi wakristo) usimwombee adui mabaya, Yesu alisema wasameheni wadai wenu ili Mungu akusamehe na wewe, pia adui yako usimwombee mabaya; kazi ya kisasi ni ya Mungu, yeye ndio anajua. kwanini aloisema hivi? kwa sababu mbele za Mungu kila mtu ana madhaifu yake hata tujitahidi namna gani tunakosea kila siku, sasa ukimwombea adui yako mabaya wakati na wewe unaweza kukosea, si ukute maombi yakadondokea mazingira yale au siku ile ambayo wewe umekosea.Hahahhaa aisee kweli bosi, yaani kwa sababu unayeomba hivyo kumbe ndiyo unamchukiza Mungu anakuondoa hahaha
Mungu yuko busy sanaWakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
View attachment 3351024
huyo aliyepigwa hivyp ndiyo naniKwa Mungu si Kwa mzunguView attachment 3351041
Kweli ksbsaa mkuu.haya maombi tunayoomba sometimes tuwe makini; usijekuwa unajiombea mwenyewe. ukafikiri wenzako ndio wanaharibu nchi kumbe kuna watu wako au wewe mwenyewe kwa udhaifu wa kibinadamu ndio unaharibu kwa kujua au kutojua...bomu linabackfire, maombi yakabackfire.
Kumbuka mapadre wapo katik maombi yao yale ya kuangamiza kila anaehusika mi nasubiri vilio tuNi ngumu bosi, Father Kitima au Gwajima wanamuambudu Mungu wa kweli aliye hai na anayeishi. Yetu masikio na Macho bosi siku ikitokea quote huu uzi kama kumbukumbu, Dkt Samia hatakiwi 2025! Ila yeye hajajua hahaha
Ni bonge la kiazi. Kichwa kimejaa urojo.hatuna rais hapa wallah!. haya si ya kusema kwa watu na rais wa nchi
Kiazi ni kiazi tu hata kama utakibanika kitabaki kuwa kiazi tu.Dah yaani nakumbuka Dkt Magufuli alivyofariki hii dunia acha tu. Nadhi if it happen kwa mwenyekiti wetu hizo shangwe zinaweza kuwa mara 10 ya Dkt Magufuli. Though Dkt Samia alikuwa na nafasi kubwa sana ya ku shine, sijui hicho kikundi kinamdanganya kinaundwa na akina nani
Wakuu