PreGE2025 Rais Samia: Mwenyezi Mungu awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
View attachment 3351024
Kibao kisije kikageuka akaangamia yeye. Ni mfano tu.
 
Hakuna mungu anayesema watu waibe kura.

Na hakuna maana ya uchaguzi kama kuna watu tayari wanajua box la kura haliamui kupata kiongozi bali anayehesabu kura.
 
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
View attachment 3351024

Mwenyezi Mungu aliye na haki, atajibu sala kama kila mja wake anavyoomba, kwa mizani ya haki. Kuangamiza wengine sijui atawaangamizaje, ila inafikirisha
 
Huyo Mungu wanaemuomba angekuwa anasikia maombi sidhani kama hii nchi ingekalika maana 99% ya waovu ni wao wenyewe wanasiasa na wangeshaangamizwa kwa maovu yao.
 
Tumia angalau Busara ikiwa akili ni ngumu,Kwa umri huo bila shaka unapaswa kuwa na hekima na busara
 
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
View attachment 3351024
Tusubiri tuone nani anaangamizwa mwaka huu yetu macho tuombe uzima ili tuone nani ameshikilia vibali vya kifo na nani anavyo vya uzima.
 
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
View attachment 3351024
Mharibifu wa kwanza ni yeye, Mungu amsikie vizuri
 
Watawala wabadilishe mentality wananchi wa leo sio wa karne ya 10 zama za mawe za kale wabadilike kimawazo na kivitendo lakini Dunia inawabadilisha watu
 
Hiyo ni Taa ya kijani ,🚦Go ahead signal , Wazee wa kazi wameambiwa endeleeni .
 
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
View attachment 3351024
Ama kweli madaraka yanalevya. Hajui kuwa anaweza akaangamizwa yeye kabla ya hao anaotaka waangamizwe. Mungu ni fundi. Anafikiri kwa kuwa analindwa na mabunduki hawezi kuangamizwa. Mungu akiamua hakuna cha bunduki wala mzinga. Amwulize mwendazake aliko atamsimulia vizuri.
 
Kama hayo ndio maombi yake kweli basi yeye atakua wa kwanza kuangamizwa na Mungu, yani mboga mboga zitabaki kuku tuu kama Mungu akijibu hayo maombi, lakini kwa upande mwingine hiyo inaweza kua ni ruhusa ameitoa kwa wasio julikana kuendelea na kazi yao
 
Back
Top Bottom