Rais Samia na Ruto wanakimbizana kwa kufanya safari Nje ya Nchi

Mtawaliwe tena
 
Nadhani kuna shimo mwilini mwako halipo sawa
 
Wewe umekamilika isipokuwa Cheti tu Ndio fake 😂
 
Mtembea bure si sawa na mkaa bure
"
Kikwete
Nini tulikikosa alipoacha kusafiri nje na ni nini tunachokipata anaposafiri nje !!
Hii ni kwa wote including aliyesema mtembea bure sio sawa na mkaa bure !!
Huo msemo ulikusudiwa kwa mtu ambaye hana kazi ya kufanya !!
 
Yule nae alidhani tupo enzi za ujima
Rais gani hafanyi safari
Mwoga kama kunguru
Alitumia ujinga wa Watanzania kudhani eti Rais akisafiri ni ufisadi
Magufuli alikuwa mshamba pia. Ilikuwa ni makosa makubwa walifanya CCM kutuletea mshamba wa Kolomije kuwa Rais
 
Haa
Watu Wema Hawafi
Ni kweli yule kenge alikuwa hatufai. Nchi ingeharibika misingi yake ya upendo na amani.

Na Magufuli asingekufa angebadili Katiba asitoke madarakani. Mungu akamuwahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…